Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ dah....eti huko kwangu ni Afghanistan mabomu daily....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...inaitwa gusa unase.....mkeo mna watoto tayari?? Yaani nakuona unatamani mkeo achepuke umfumanieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....ila elewa keshaolewa na ni MUKE YA MANGI........yaheshimu marinda yako....
 
Mangi wa Rombo ebu Leta namba ya binti tumvuruge aachike uendelee kujilia hahahahaha eti siku Zote hizo hujampa Hata mimba mburaaaaaaa
 
Kwahiyo mkeo sio mtamu mkuu.. yaani hanogi tuu hata kwa kulumangia.!??
 
Sidhani kama ni upendo bali ni lust
 
Nimecheka tu hapo ulipo sema kwamba (maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anyway, pole sana mkuu....
Hilo nalo litapita, kikubwa jifundishe kumpenda na kumvumilia mkeo
 
Sijui kwanini namuonea huruma Bwana harusi kuliko wewe.
 
Kwa kweli, angekuja kumuoa afu aje aseme kama huo upendo bado upo vilevile. Maisha ya kukutana kwa ajili ya kuchepuka tu, na maisha ya familia ni tofauti kabisa. Hata mkewe naamini alimpenda sana wakati wa dating.
Kabisa hasa hapa anamsifu zaidi kwa upande wa ngono pengine angemuoa angekinai na kutafuta kamchepuko kengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…