Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na definition, unakumbushwa hata Daud alikuwa God fearing King bila kumsahau Suleiman na michepuko yakeWhat's the definition of God fearing?
Itakuwa kama Khumbu[emoji85][emoji85]
Hata mimi nimeshangaa kwakweli,.Hapo kwenye God fearing sasa na huku mlikuwa mnazini hiyo God fearing inatoka wapi
Mangi wa Rombo ebu Leta namba ya binti tumvuruge aachike uendelee kujilia hahahahaha eti siku Zote hizo hujampa Hata mimba mburaaaaaaaHabari za mida wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.
Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine
Kwahiyo mkeo sio mtamu mkuu.. yaani hanogi tuu hata kwa kulumangia.!??Habari za mida wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.
Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine mazuri pia nikiri ninampenda na yy ananipenda pia ana kasoro zake nadhani na mm nnazo km binadamu ila
Sidhani kama ni upendo bali ni lustWako wengi kwenye ndoa na hawapendani. What I see is really mlipendana ndio maana iko hivyo. Ukishampenda mtu kumuondoa moyoni sio kazi rahisi. Endelea kumpenda na kumheshimu. Usi-deny kumpenda. Endelea kujifunza dhana ya love may sometime entail letting go. Cherish good memories mlikuwa nazo pamoja. Mengine yaache yatafanywa na muda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninadhani God Fearing ina maana pana sana. Ninapendekeza twende na mtazamo wake wa God Fearing.
Ah ah mangi ukute hata mke wake hajampachika mimba...shida sana huyu jamaaMangi wa Rombo ebu Leta namba ya binti tumvuruge aachike uendelee kujilia hahahahaha eti siku Zote hizo hujampa Hata mimba mburaaaaaaa
Sijui kwanini namuonea huruma Bwana harusi kuliko wewe.Habari za mida wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.
Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa
Kwa kweli, angekuja kumuoa afu aje aseme kama huo upendo bado upo vilevile. Maisha ya kukutana kwa ajili ya kuchepuka tu, na maisha ya familia ni tofauti kabisa. Hata mkewe naamini alimpenda sana wakati wa dating.sidhani kama ni upendo bali ni lust
Kabisa hasa hapa anamsifu zaidi kwa upande wa ngono pengine angemuoa angekinai na kutafuta kamchepuko kengineKwa kweli, angekuja kumuoa afu aje aseme kama huo upendo bado upo vilevile. Maisha ya kukutana kwa ajili ya kuchepuka tu, na maisha ya familia ni tofauti kabisa. Hata mkewe naamini alimpenda sana wakati wa dating.