RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
- #61
Mzee baba ulidata huna budi kuruhusu uponyaji. Kwa maelezo yako inaonesha huyo binti ni mzuri sana
Kwa urembo Chief sina sbabu ya kudanganya ni mrembo haswa! Ana ile naturally beauty...wife ni mrembo ila kwa huyu bila kificho anasubiri.