Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Dhambi gani ambayo haiepukiki..!??kaka usihalalishe dhambi kwasababu ya tamaa zako,.wewe ni mkristo hebu nikuulize ghafla umefia juu ya kifua cha mchepuko wako huyo anakuja Mungu mwenyewe anakuuliza ilikuwaje,utamjibu kuna dhambi haziepukiki???

My sister ukileta mjadala huu hatutafikia muafaka ila elewa tu kua she was a good woman nadhan ht angekua rafiki yk she was going to be a good friend!
 
Wanawake tunazidiana vitu vingi, ila heshimu commitment yako. Hata ungeoa huo mchepuko, inawezekana ungepata mchepuko ambao ungemzidi maarifa na tabia njema. Tulia na mkeo na muheshimu kwa kuacha kumfananisha na michepuko. Hata ukutane na malaika, jiambie mke wangu amewazidi wote. Ridhika na cha kwako, ndiyo fungu lako; au unafikiri mkeo hakutani na wanaume waliokuzidi wewe mambo mengi?

Yawezekana anakutana nao tena wengi mno na sijamfananisha na this woman! She is unique on her own and this young lady is unique on her way too! The behaviour of this young lady is mesmerising no wonder kapata mume wa kumuoa mapema sana...japo naumia ila am happy for her at the same time kapata mume wa maana na mstaarabu pia.
 
6yrs ni mingi sana bro kila kitu kinamwisho wake kubali kama huo ni mwisho naye, anabusara sana hajawah kukualibia kwa mke wako na wew usitake kumwalibia kwa mume wake, Cha kufanya kuwa kama we ndo umemwacha mblock kila sehemu. Hapo utakuwa umemaliza kazi, but kuendele kuwasiliana ipo siku iyo utasahau kama ameolewa na kumvunjia heshima kama MKE wa mtu ukasababisha mgongano kwenye ndoa yake
 
Eeh ndiyo sio wako sasa. Wako ndiyo huyo huyo uliyemchagua, kwani hukujua kama sio business planner na great adviser; kipo kilichokufanya umchague yeye na sio mwingine. Hichohicho kikupe sababu ya kukaa naye kwa kutulia

Jibu ni kukubali ukweli kua sio wangu ila I can not give the crown to my wife which she doesn't deserve...nampenda na kumuheshimu km mke wangu ila kwny ukweli niseme ukweli tabia zake si nzuri.
 
Yaaani mpaka nimetetemeka, sijui nitampeleka yordani akadumbukizwe kulee ili atakasikee,.. khaaa!!

Labda niseme hv dada usiogope au usidhani mm lbd ni aina ya mwanaume wa kutupa familia au kumdharau wife...trust me the way she is behaving towards me makes me feel like am loosing something so my point ni kua km una mume au utapopata mume jaribu kua mke kwake na si mleta kero utanishukuru baadae.
 
6yrs ni mingi sana bro kila kitu kinamwisho wake kubali kama huo ni mwisho naye, anabusara sana hajawah kukualibia kwa mke wako na wew usitake kumwalibia kwa mume wake, Cha kufanya kuwa kama we ndo umemwacha mblock kila sehemu. Hapo utakuwa umemaliza kazi, but kuendele kuwasiliana ipo siku iyo utasahau kama ameolewa na kumvunjia heshima kama MKE wa mtu ukasababisha mgongano kwenye ndoa yake

Asante chief kwa ushauri nitajikaza nifanye hvy maana kwa jinsi alivyoishi na mm ntakua ni mkosefu wa busara nikimuharibia kwenye ndoa yake.
 
Soma kwa makini sista si upande wa ngono peke yake! Ht mwanzo nikiwa nae nilishawah kuchepuka mwanzoni ila nilikuja gundua ana akili na tabia njema sna ndizo zilifanya nikajenga kibanda kwake wala sinhiyo ngono tu.
Ana tabia njema anachepuka kwa mchumba wake?
ndo maana wanaume huwa mnaingia kwenye mitego na kutelekeza familia ukija kushtuka kumekuchwa
 
Mkuu blessed acha tu! Upate mwanamke wa pembeni unampa matatizo yako yote anakushauri km mama yako mzazi! Mwanamke anakuamini anakuchukulia mkopo ufungue biashara na hujamuoa na anajua una mke..kwa nn asingenichuna akachapa lapa na aliona nishampenda?? Mke wangu wa nyumbani hata mshahara wake sijui unafanyiaga nini jamani nyie acheni tu.
Mkuu ninakuelewa. Ukweli ni kuwa Sifa ya Mke mzuri ni yule ambaye ana-act kama mama kama huyo Mkuu.
 
Yawezekana anakutana nao tena wengi mno na sijamfananisha na this woman! She is unique on her own and this young lady is unique on her way too! The behaviour of this young lady is mesmerising no wonder kapata mume wa kumuoa mapema sana...japo naumia ila am happy for her at the same time kapata mume wa maana na mstaarabu pia.
Mkuu umekuja kuomba ushauri wadada hapo wanakushauri vizuri hutaki unataka wakuunge mkono daah hatari sana
 
Back
Top Bottom