Ni ovyo kwa kweli. Na wala sijapanick , sipendi mwanaume anaetafta faraja upande wa pili badala ya kusolve tatizo alilo nalo upande wa kwanza. Hapa badala ukae utatue na mkeo kua uanataka hivi na vile na vile mahusiano yenu yawe safi huku mkishirikisha mwenyezi Mungu alie bariki mahusiano yenu unaenda kuharibu kwengine ambako kutaleta matatizo mengi. U ar useless sababu hutumii akili. Sasa anza kuwaza kidunia huu uzinzi wako unaofanya ukaleta mtoto kwa huyo mchepuko , ataharibu ndoa yakr na yako, je hatma ya wanao itakuaje hii ndo ikiharibika? Heshima yako kwa wazazi wako wa mke wako na wa mchepuko wako maana uliwahi kupanga kwako? We unaona unatumia akili ktk kutatua haya? Kama mke mchafu au hapangi nyumba vzur saidianeni tu napenda nyumba iwe safi, napenda kochi zikae hapa, napenda uwe msafi, napenda mazingira ya jiko yawe hivi, napenda mavazi haya tena unaweza mnunulia mwenyewe unachopenda na kwa uwezo wa mungu ndoa itakaa sawa. Mpe muda wako, epuka kampani ya huyu dem wako, weka maslah ya famili mbele na achana na tamaa zako