Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Umeolewa au upo kwenye Mahusiano yanayotambulika? Mchaga wetu asiwe anakadiliana na Hawa wasoma tamthilia wakidhani ndiyo Maisha halisi ya Ndoa....Shida yngu ni yeye kwenda kutafta faraja au hyo faraja ilijileta. Mimi naoana na naunga mkono kwa 100% mkishindwana muachane lkn sio kutfta faraja upande wa pili. Maliza hili la ndoa ulilo nalo kisha anza kutafta mtu mwingin. Na kama ni muislam basi huenda angeoa mke wa pili huyu wa kwanza akagunguka akili ikiwa na mambo ya ajabh
Fafanua marital status yako Kwanza ili tujue ukomavu wako wa hoja yako.