Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Habari za mida wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.

Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine mazuri pia nikiri ninampenda na yy ananipenda pia ana kasoro zake nadhani na mm nnazo km binadamu ila kusema ukweli mke wangu huyu ana kaubabe,kaujeuri flani na kauvivu ambako kananikwwza ila nisimuhukumu sana yawezekana na mm nina kasoro zangu pia!

Nikienda kwenye point wakati nimetoka kuoa tu nikiwa na umri wa miaka28 tulipanga nyumba maeneo ya Mbezi ilikua ni nyumba nzima lakini ambayo ipo ndani ya fence ambayo mwenye nyumba nae ana nyumba yake kubwa humohumo na ndani ya fence hiyo kulikua na nyumba mbili za kupangisha na nyumba ya mwenye nyumba yetu inakua ya tatu kila mtu nyumba ilikua inajitegemea kuanzia umeme maji na kila kitu hvy kukutana kwetu ilikua ni mara chache sana! Tulipanga mle mimi na wife kwa muda wa miez km miwili sijawahi kukutana na watoto wa mwenye nyumba...nilikuja kumuona siku kwa kweli bila kificho moyo wangu ulishtuka kidogo alikua ni binti mdogo nilikuja kujua baadae alikua na 20 yrs mrembo mnoo! Alikua ana chocolate colour inayong'aa..ana nywele ndefu na nyeusi..shingo nzuri umbile na miguu ndio usiseme yule binti alikua ni mzuri mpk vidole nna hakika mwanaume yyt angemuona angemuappriciate urembo wake.

Sikuwah kumuongelesha maana nilikua namuona kwa mbali baadae alikuja kupotea machoni kumbe alikua kaenda chuo! Alikua akisoma chuo mikoa ya kati...Nilikuja kupata safari mkoa ule kikazi nilivyomaliza kazi usiku nikasema ngoja nikapate moja baridi kupunguza uchovu na ku explore mkoa ule...nikaenda kiwanja kimoja cha starehe ghafla nikamuona yule binti yuko pamoja na kijana flani mtanashati ila dogo tu it seems ni agemates...niliwaangalia kwa muda nikagundua kua hawakua sawa sababu jamaa alionekana km kasusa kaondoka akamuacha binti! Hahahahaaha! Nikasema utoto raha sana nilimfata yule binti nikamuona yuko down nikamsalimia kwa bashasha ila hakunikumbuka mapema ila nilivyomkumbusha akanikumbuka na kunichangamkia kiasi kiukweli yule binti alikua anataka kuondoka ila nikambembeleza sana akakubali kubaki tulipata vinywaji ila nia yangu ni kumla kimasihara sababu kiukweli kale kabinti kalikua kazuri katikati ya kinywaji akaniambia yy kashatosheka kilevi anahitaki kuondoka nilibembeleza tubaki lakini wapi akasema yy hana shida atachukua tu usafir wk nikaona mzee ntapoteza credit acha niwe gentleman nimpeleke...niliwasha gari ya ofisi niliyokua nayo pale nikampeleka mpk hostel aliyokua amepanga niliongia ndani akanipa glass ya maji kwa kweli nilivutiwa na mpangilio wake wa ndani alikua ni binti msafi...nilikunywa tu maji nikaondoka sikutaka kuonekana mzee fisi japo nilikua namuonea uchu balaa!

Alinipa namba yake nikaona ni ushindi tosha kesho yake nilimtafuta sababu nilikua na mawasiliano nae tayari akarespond vzr tu nikaomba meeting for lunch akakubali..kalikuja kamevaa simple bt classy aisee mzee mzima akili iliniruka nilijikaza kiume baada ya lunch tukapanda hotel niliyofikia...tukaangalia movie kakawa kanakunywa wine kidogo hamuwezi amini jinsi nilivyokua nazidi kukaa nae ndio confidence ikawa inazidi kushuka nikawa naogopa ht kumtongoza aisee! Mzee mzima nilikua km zoba ghafla nikasema...baadae yy mwnyew aliniambia lets sex this wine is making me horny jamani wakuu ilibaki kidogo nizimie kwa furaha nikataka nimrukie kavu akaniambia condom plz! Mbona ilipatikana bila kuchelewa..jamani kumshika yule binti alikua na mwili mlaini sijawahi ona...alikua na body scent nzuri mpk nikajiuliza haka katoto ni nini kanaapply kuglow kiasi hiki??

Wakuu nilikula mzigo yani yule mtoto alikua ni mtamuu kdg nikojoe damu...kwanza alivyovua nguo unatamani umuone masaa yote hajavaa...mashine ilikua ya motooo halaf ndogo km hajafanya vile cha kushangaza mtoto alinikimbiza alinipa shoo wallah sijawah pewa ht na mama chanja nilijiuliza kayajulia wapi huyu mtoto na kanavyoonekana kapole huwezi kadhania...jamani kiufupi niliienjoy sana yaani nadhani wakuu mnaelewa raha unayopata ukila demu mzuri..msafi na mtamu! Baada ya pale niwe mkweli niliendeleza shobo kwa yule mtoto mpk week ile nilimaliza kaz na kurud mjini Dar..kenyewe kalibaki kakaendlea na masomo! Nilirud Dar ila niliona kabisa kuna kitu kimepungua kwa ule muda niliokaa na yule mtoto nilisahau shida zotee kalikua ni kapole kasikivu halaf kana mapenzi balaaa ila sikua na jinsi.

Kufupisha ni kua yule binti niliendelea na mahusiano nae muda wotee wakati naishi pale kwao..cha ajabu hakuwahi kupunguza heshima kwa wife na sikuwah kumwambia hilo yule mtoto alikua na akili utadhan mtu mzima ilifikia mida kitu akinishauri nikikifanya lazima nifanikiwe na nikizingua kuacha kufanya lazima niende mrama! Kalimaliza chuo kakapata kazi kakafungua na biashara aisee yule binti akili za darasani alizopewa na Mungu sijui ni nani kampa! Nilikaa pale kwao kwa miaka4 mpk nilivyomaliza kujenga kasehemu kangu ila miaka yote huyo si wazazi wake...mke wangu wala mpangaji wa nyumba nyingine aliyegundua mahusiano yetu...japo we had a good time together and naweza kusema ni mtu wa karibu yangu kupita kiasi..amekua akinishauri vitu vingi mnoo na amenisaidia sehemu nyingi sana..yaani umri wake na mambo anayoyafanya ni haviendani.

Kilichofanya nije kutoa kilio changu hapa ni kwamba huyu binti alikuja kuniambia amepata mchumba na anataka kuja kutoa mahari kwao jamani wakuu ilibaki kidogo nichizike..wivu niliousikia sijui niufananishe na nn nilitaka hadi kuumwa ila nikatulia nikakumbuka mm nishaoa itabid kwa upande wake na yy maisha yaendelee! Nilijaribu kujitoa sana kwenye send off yake walau kulipa fadhila ya jinsi aliyonifanyia kwenye maisha yangu...hapa nnapotype ameshaolewa jamaa aliyemuoa ni mtu wa kwetu huko dah yule mjinga amepata mke mpk nasikia wivu wa hali ya juu shida inakuja ni ninashindwa kumuacha..jamani nafeli kumtoa kichwani.

Nilishamzoea safar zangu nying nilikua naenda nae! Mechi za mpira naangalia nae! She was funny,humble and God fearing...kapole na kasikivu yaani alinifanya nijihisi mwanaume maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka! Ila nilikua nikitoka kulipukiwa nikikawaza kenyewe nasahau shida nafanya kazi kwa umakini na weledi mkubwa! Kalinionyesha upendo ambao sikuwahi kuuexperience! Kalikua kananipa mechi tamuu na kila siku km kapyaaa aisee yule mwamba amepata kisu kikali na jamaa linaringa kweli yaani kwenye harusi nilikua najitahidi kujichekesha maana nilialikwa km kaka niliekaa muda mrefu kwao na kwa amani ila wife angenichunguza kwa makini angeona jinsi nilivyopigwa kisu cha moyo...kalipendeza km malkia halaf kanaolewa na jamaa mwingine daah! Yaan upendo wote niliopewa anaenda kupewa yule jamaa nyie acheni tu.

Bado nina mawasiliano nae mazuri ila now kawa mke wa mtu najitahidi sana nimuepuke ila wazee wenzangu roho inashindwa nimemzoea sana I took her as a part of my life aisee nini nifanye nimtoe kichwani huyu binti? Six wonderful years with her zinaniumiza sana wakuu!

Ningeomba msinibeze au kunihukumu asikwambie mtu hakuna kitu kinakupa amani mwanaume km mwanamke msikivu,mchapakazi,anaekuheshimu mwenye kukushauri I mean akili kubwa halafu akawa mrembo na mtamu kitandani ni kweli nilitenda dhambi ya kucheat ila nadhan ni huyu aliefanya ndoa yangu imedumu mpk leo..sasa ameshakua wa mwingine nifanyeje kumtoa kichwani huyu binti?
Kumbe una ndoa kabisa ya kanisani, tubu rudi kwa mkeo
 
Hujaelewa tofauti jombaa! Wife ni muajiriwa serikalini ila mshahara wake Mungu ananiona sijui anafanyiaga nn nimekausha sababu nna uwezo wa kunhandle familia na kumlisha yy! Km binadamu nafika time nakwama namuomba msaada ananiambia si ukope ht kwa rafiki zako huko mi hela naolitolea wapi! Mind that nanunua kila kitu ndani...nimejenga kwa hela yangu full msaada nikikwama napewa na huyu binti nnaemuita mchepuko...mtu amenikopea mil12 akaniamini akanipannimeanza biashara namlipa kidogokidogo huku huyu wife johncena anakula tu matunda ya biashara ya mwanamke mwenzake halafu unasema nisimthamini huyu binti ntakua na akili??? Mambo hayakwenda sawa mtoto nusu akae nyumbani kisa ada binti wa watu ananiazima namrudishia nafikia nusu deni anasema basi baby umenisaidia vingi hiyo iliyobaki fanyia mambo mengine na mama wa mtoto yupo kabandika makucha km zimwi na wigi lake km mpoki hana time anasema kopa ht kwa rfk zako mi sina hela hlf nisipagawe kuachana na huyu bi dada? Baby zu hayuko serious ht kdg
Umepoteza kisu kweli.... Pole sana. Nakuelewa ndugu. Jipe muda. Huwezi kumsahau ila muda utakuponya na kupunguza machungu. Furahia good moments ulizo enjoy. Maisha hayana budi kuendelea Mangi.
 
Hujaelewa tofauti jombaa! Wife ni muajiriwa serikalini ila mshahara wake Mungu ananiona sijui anafanyiaga nn nimekausha sababu nna uwezo wa kunhandle familia na kumlisha yy! Km binadamu nafika time nakwama namuomba msaada ananiambia si ukope ht kwa rafiki zako huko mi hela naolitolea wapi! Mind that nanunua kila kitu ndani...nimejenga kwa hela yangu full msaada nikikwama napewa na huyu binti nnaemuita mchepuko...mtu amenikopea mil12 akaniamini akanipannimeanza biashara namlipa kidogokidogo huku huyu wife johncena anakula tu matunda ya biashara ya mwanamke mwenzake halafu unasema nisimthamini huyu binti ntakua na akili??? Mambo hayakwenda sawa mtoto nusu akae nyumbani kisa ada binti wa watu ananiazima namrudishia nafikia nusu deni anasema basi baby umenisaidia vingi hiyo iliyobaki fanyia mambo mengine na mama wa mtoto yupo kabandika makucha km zimwi na wigi lake km mpoki hana time anasema kopa ht kwa rfk zako mi sina hela hlf nisipagawe kuachana na huyu bi dada? Baby zu hayuko serious ht kdg
Oyaaaa.

Hakuna kumuacha.
Acha kuyumbishwa.
 
Kwanza ningependa nikwambie kitu sista mimi ni mwanaume mwenye asili ya upendo na upole sikutaka kuandika mengi juu ya shida za wife ila ungejua ht usingeteseka kuandika hii essay kunihukumu! Mpk kwny ukoo na familia naonekana zoba kwa huyu mke wangu...wazazi wangu na wanandugu kila siku wananilaumu namuendekeza kwa jinsi tabia zake zilivyo! Hakuna siku aliyowahi kukubali km kakosa huyu mwanamke mwenzio! Ubabe alionao hata john cena hamfikii mamiloo! Mshahara wake ukishaingia akayengeneza makucha yake na mawigi km joti hana habari! Ukimwambia anawaka km moto wa kifuu anajua mimi ni mnyonge ntanyamaza kumpiga siwezi sababu sijaumbwa hivyo! Kwanza maisha ya hapa nyumbani sitamani housegirl aondoke maana itakua sio nyumba bali ni stoo watoto watakua wachafu balaa...housegirl niseme km ndio kashikilia huu mji we dada acha kuongea usichokijua mimi si fala au nisiejua thamani ya mke tena ninakua mpole mnoo ili kuepusha kutesa watoto wangu.
Wewe.
Nisikilize mini.

Endelea na mapenzi yenu mwaya.
 
Umepoteza kisu kweli.... Pole sana. Nakuelewa ndugu. Jipe muda. Huwezi kumsahau ila muda utakuponya na kupunguza machungu. Furahia good moments ulizo enjoy. Maisha hayana budi kuendelea Mangi.

Asante kwa ushauri jombaa!
 
Mangi vipi house Girl analipa? Mpige tukio Moja mother house kurekebisha tabia yake Hata liwe tukio fake as long as tabia yake inajulikana Kwenu you will be in safe hand brother muda mwingine ambaye hamjazaliwa naye asikupunguzie umri wa kuishi......we live once brother na spare ya wehu wa Ndoa haupo duniani
 
Makucha na Makope Kama ya Joti ...Huyu mlikofikia hakuna ndoa brother mpaka unamuita zimwi Sasa ole wako uanzishe timbwili la kuachana naye utakuja kujuta..

Friends Mke asiye msaada Ni sawa na changudoa tu ..Zitambue sifa za changudoa
Aya ya mwisho nimeielewa
 
Mangi vipi house Girl analipa? Mpige tukio Moja mother house kurekebisha tabia yake Hata liwe tukio fake as long as tabia yake inajulikana Kwenu you will be in safe hand brother muda mwingine ambaye hamjazaliwa naye asikupunguzie umri wa kuishi......we live once brother na spare ya wehu wa Ndoa haupo duniani

Hahahahah! Housegirl ni binti nnaemuheshimunsana bro nashindwa kumgeukia jombaa!
 
Hahahahah! Housegirl ni binti nnaemuheshimunsana bro nashindwa kumgeukia jombaa!
Mangi kama umesema yeye ndiye mama wa Familia na siku akiondoka Nyumba itakuwa shimo la taka huoni anafaa kupandishwa cheo hahahahaha
 
Mangi kama umesema yeye ndiye mama wa Familia na siku akiondoka Nyumba itakuwa shimo la taka huoni anafaa kupandishwa cheo hahahahaha

[emoji28][emoji28]au sio jombaa! Wife ilitakiwa apigwe tukio na kisu kikali km hiki kilichoolewa ila akili irudi aache kudhani mm zoba kwa ustaarabu nnaomfanyia sema tangia mwanzo niliona nikimuonyeshea ataenda kuleta tafrani kwa wazazi wa yule binti na kumletea shida binti sababu anaijua familia vyema na ss hv ataenda muharibia mwenzake ndoa yake...dawa yake iko jikoni ntampiga tukio na pini nyingine kali hata ya kupita nayo hlf naipump iwe korofi impandishie ili ajue nafasi yake maana kwa maelezo ya mdomo kashindwa kua muelewa na kipigo mi siwezi.
 
SA NANI KAKWAMBIA UMUACHE?

We naee.
Mimi tu niliyekuwa nasoma uzi wako nimeskia raha unavoelezea.
Wewe uliyekuwa kwenye hiyo relationship?

Kwanza unafkr yeye atakuacha, mwache kwanza awe awe mwaminifu kidogo.
Wewe na yeye
Hiyo ni mpk KIFO kiwatenganishe.
Most of us here have marriages out of of our marriages.
Na ndo zinadumisha ndoa.
Sasa mmoja hapo ajifanye mshika mafundisho ya padre.

Hehehhehehe
[emoji91][emoji91]
 
Sio God fearing kwa ishu za kwenda kanisani hamna! Namaanisha jinsi anavyoishi na jamii ya nje tofauti na mm...jinsi anavyobehave kwa majirani zake..marafiki na watu wengine trust me ana hofu ya Mungu ndani yake!

Daah wife wangu ni balaa acheni tu kwanza watu wa nje wananionaga lofa kwake sema nakausha tu nilee wanangu.
I feel your problems chief, I passed the same way
 
Back
Top Bottom