Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Mi sikubezi wala nini ila tu nakwambia chungu ndo dawa.I understand every bit part of what you're going through (been in that route before) lakini KUACHA INAKUBIDI.retreat now that she's married na jaribu kuchukua muda wako ku invest kwenye "mabomu yako ya Afghanstan" yaani your wife.mpe good time,spend muda nae,ujue nae ni demu mzee sema tu ana tag ya kua mke wako.mtreat kama ulivyomtreat mtoto wa mwenye nyumba wako pale mwanzo. naamini hakukua na mabomu toka mwanzo na labda una mchango kwenye kuyaleta now.
Fanya ibada na mkwepe sana hasa kukutana nae mazingira hatarishi. (mi nilishakutana na ex kwenye warsha flani ya kikazi, ambae hatukuwahi gombana wala nini na sikua nimeshikika sana kwake but she was beautiful and a very good person and the devil ensured anakaa chumba cha pili tu toka kwangu pale hotelini na tulikaa for two weeks..ulikua mwanzo wa timbwili na doa zito maishani mwangu)
Kimbia na pinga kila mawazo ya kukutana nae na hata mawasliano kata bro,esp now that she's married.
 
May the Almighty bless u for the good advice u have offered
 
Thanks for the advice bro! I appriciate.
 
Rubuye; mimi binafsi nimetamani sana kama ungesimulia kidogo kuhusu hilo timbwili na doa zote kwenye maisha yao. Nimefurahi pia kuona u mmoja wa wanaume responsible, na ambao bado mnaamini mnaweza mkarudi kwa wake zenu na kutengeneza ndoa zenu upya. Zinaa ni ya kukimbiwa tu

Mi sikubezi wala nini ila tu nakwambia chungu ndo dawa.I understand every bit part of what you're going through (been in that route before) lakini KUACHA INAKUBIDI.retreat now that she's married na jaribu kuchukua muda wako ku invest kwenye "mabomu yako ya Afghanstan" yaani your wife.mpe good time,spend muda nae,ujue nae ni demu mzee sema tu ana tag ya kua mke wako.mtreat kama ulivyomtreat mtoto wa mwenye nyumba wako pale mwanzo. naamini hakukua na mabomu toka mwanzo na labda una mchango kwenye kuyaleta now.
Fanya ibada na mkwepe sana hasa kukutana nae mazingira hatarishi. (mi nilishakutana na ex kwenye warsha flani ya kikazi, ambae hatukuwahi gombana wala nini na sikua nimeshikika sana kwake but she was beautiful and a very good person and the devil ensured anakaa chumba cha pili tu toka kwangu pale hotelini na tulikaa for two weeks..ulikua mwanzo wa timbwili na doa zito maishani mwangu)
Kimbia na pinga kila mawazo ya kukutana nae na hata mawasliano kata bro,esp now that she's married.
 
Acha kucompare mke na mchepuko aisee. Haijalishi mkeo ana mapungufu kiasi gani stili ni mkeo na uliapa kabisa

Sijawacompare mama sababu reality bila kuficha ficha huyu binti kamzidi wife mengi...sema km ulivyosema niliapa hamna namna.
 
Tulia na mkeo ndugu huko kwingine ni kuhangaika tu mwisho wa siku unarudi kwa mkeo! Kama ulivompenda mkeo mwanzo sasa unamuona sio ndio utavomuona huyo mchepuko hapo utapokaa nae kwa muda nakujua mapungufu yake!
 
Mapungufu anayo tena mengi tu km binadamu ila anaelezeka na anasikia wife wangu hataki kuelezeka..kurud nyumbani sio tatizo unarud ila upendo ndio hvy unahama! Upendo bila masikilizano ni useless.
 
Nimekuelewa sana snowhite shida ni mahakimu hawa yaani km miungu watu vile.
Achana na Keyboard heroes.

Wana closets zao kibao.
Only place ya kujipa moyo they are clean is by telling others that they sin.

Baba kula raha.
Sa hiz kapptezee potezee.

Atarudi tu.
Hayanaga muda tu mbona haya mahuba ya kwenye picha za Gara B.
Endelea kunywa mtori Mangi, nyama ziko chini.
 
Mapungufu anayo tena mengi tu km binadamu ila anaelezeka na anasikia wife wangu hataki kuelezeka..kurud nyumbani sio tatizo unarud ila upendo ndio hvy unahama! Upendo bila masikilizano ni useless.
Weeee naeee mbona unajieleza saaana.
Ndo mana mkeo anakuburuza.
You don't need to justify anything to anyone.

You cheated on her ,period.
It was your pleasure ,period.
Hata angekuwa hana Kasoro, na anarekebishika.
It's your life.
Sisi tutakuhukumu hapaaa ujikoseshe raha buuuure.
Wakati waka sio clean wala nn.
Wakati we una huba lako mwenywe unaliinjooi.

Celebrate your love bana.
Nani alikwambia ukishaoa na kuolewa unaacha kupenda?
Weeeeh?
 
Mkuu dah, aisee. Ni ngumu kukushauri lakini jua kila lenye mwanzo lina mwisho wake. Shukuru kuwa limefima mwisho mwema, for six years hata wife hajahisi! Mmh. Hilo limepita. Muache kabisa na namba futa. Hata ushauri usiombe.
 
Back
Top Bottom