Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Achana na Keyboard heroes.

Wana closets zao kibao.
Only place ya kujipa moyo they are clean is by telling others that they sin.

Baba kula raha.
Sa hiz kapptezee potezee.

Atarudi tu.
Hayanaga muda tu mbona haya mahuba ya kwenye picha za Gara B.
Endelea kunywa mtori Mangi, nyama ziko chini.

Hahahaha nyama ziko chini[emoji23][emoji23][emoji23]...sister your damn right.
 
Weeee naeee mbona unajieleza saaana.
Ndo mana mkeo anakuburuza.
You don't need to justify anything to anyone.

You cheated on her ,period.
It was your pleasure ,period.
Hata angekuwa hana Kasoro, na anarekebishika.
It's your life.
Sisi tutakuhukumu hapaaa ujikoseshe raha buuuure.
Wakati waka sio clean wala nn.
Wakati we una huba lako mwenywe unaliinjooi.

Celebrate your love bana.
Nani alikwambia ukishaoa na kuolewa unaacha kupenda?
Weeeeh?

[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mamiloo nimekupata exactly!
 
Mkuu dah, aisee. Ni ngumu kukushauri lakini jua kila lenye mwanzo lina mwisho wake. Shukuru kuwa limefima mwisho mwema, for six years hata wife hajahisi! Mmh. Hilo limepita. Muache kabisa na namba futa. Hata ushauri usiombe.

Sawa mkuu! Shukrani kwa ushauri.
 
Rubuye; mimi binafsi nimetamani sana kama ungesimulia kidogo kuhusu hilo timbwili na doa zote kwenye maisha yao. Nimefurahi pia kuona u mmoja wa wanaume responsible, na ambao bado mnaamini mnaweza mkarudi kwa wake zenu na kutengeneza ndoa zenu upya. Zinaa ni ya kukimbiwa tu
Dada angu nashukuru ila siwezi simulia humu(it is a small world na inahusisha watoto wangu pia,i have hurt them enough siwez endelea waumiza hata kama hawajui kama kuna JF).Mi sio malaika,nilishakosea sana hususan ukaribu na ex's baad ya ndoa,nikaumiza hisia za watu innocent sana,mara nyingine nikikaa peke yangu najisikia hukumu sana sababu ya mahusiano yangu ya nyuma.
Ukiweza kimbia zinaa kimbia sanaaaaaa,sanaa yaani.Dhambi tamu yenye matokeo machungu always.
nb:sijawaweza kuwa mtakatifu sana ila am still working on my frailties
 
Nashukuru hata kwa kidogo ulichoamua kushare na mimi; ni heshima kwangu. Ujue hakuna mtu mwenye immune ya kutokutenda dhambi; tunatenda dhambi lakini pia hadi ufikie hatua kwamba unakosea na concious yako au nafsi yako inaumia; aisee ni hatua nzuri kwa binadamu. Hakuna malaika, bali kuna watu ambao kila siku wanajitahidi kuutengeneza na kuuboresha utu wao wa ndani; we are all a work on progress. Mpaka hapo ulipofikia una kila sababu ya kumshukuru Mungu. Omba rehema mpaka utakaposikia amani nafsini mwako, hadi utakapoweza kuona unaacha kujihukumu. Tunafundishwa kusamehe, lakini tunatakiwa kujisamehe na sisi wenyewe pia kwanza; jisamehe please kwa sababu hata Mungu alishakusamehe. Nakuachia Zaburi 51

Dada angu nashukuru ila siwezi simulia humu(it is a small world na inahusisha watoto wangu pia,i have hurt them enough siwez endelea waumiza hata kama hawajui kama kuna JF).Mi sio malaika,nilishakosea sana hususan ukaribu na ex's baad ya ndoa,nikaumiza hisia za watu innocent sana,mara nyingine nikikaa peke yangu najisikia hukumu sana sababu ya mahusiano yangu ya nyuma.
Ukiweza kimbia zinaa kimbia sanaaaaaa,sanaa yaani.Dhambi tamu yenye matokeo machungu always.
nb:sijawaweza kuwa mtakatifu sana ila am still working on my frailties
 
Habari za mida wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.

Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine mazuri pia nikiri ninampenda na yy ananipenda pia ana kasoro zake nadhani na mm nnazo km binadamu ila kusema ukweli mke wangu huyu ana kaubabe,kaujeuri flani na kauvivu ambako kananikwwza ila nisimuhukumu sana yawezekana na mm nina kasoro zangu pia!

Nikienda kwenye point wakati nimetoka kuoa tu nikiwa na umri wa miaka28 tulipanga nyumba maeneo ya Mbezi ilikua ni nyumba nzima lakini ambayo ipo ndani ya fence ambayo mwenye nyumba nae ana nyumba yake kubwa humohumo na ndani ya fence hiyo kulikua na nyumba mbili za kupangisha na nyumba ya mwenye nyumba yetu inakua ya tatu kila mtu nyumba ilikua inajitegemea kuanzia umeme maji na kila kitu hvy kukutana kwetu ilikua ni mara chache sana.

Tulipanga mle mimi na wife kwa muda wa miez km miwili sijawahi kukutana na watoto wa mwenye nyumba...nilikuja kumuona siku kwa kweli bila kificho moyo wangu ulishtuka kidogo alikua ni binti mdogo nilikuja kujua baadae alikua na 20 yrs mrembo mnoo! Alikua ana chocolate colour inayong'aa..ana nywele ndefu na nyeusi..shingo nzuri umbile na miguu ndio usiseme yule binti alikua ni mzuri mpk vidole nna hakika mwanaume yyt angemuona angemuappriciate urembo wake.

Sikuwah kumuongelesha maana nilikua namuona kwa mbali baadae alikuja kupotea machoni kumbe alikua kaenda chuo! Alikua akisoma chuo mikoa ya kati...Nilikuja kupata safari mkoa ule kikazi nilivyomaliza kazi usiku nikasema ngoja nikapate moja baridi kupunguza uchovu na ku explore mkoa ule...nikaenda kiwanja kimoja cha starehe ghafla nikamuona yule binti yuko pamoja na kijana flani mtanashati ila dogo tu it seems ni agemates...niliwaangalia kwa muda nikagundua kua hawakua sawa sababu jamaa alionekana km kasusa kaondoka akamuacha binti! Hahahahaaha!

Nikasema utoto raha sana nilimfata yule binti nikamuona yuko down nikamsalimia kwa bashasha ila hakunikumbuka mapema ila nilivyomkumbusha akanikumbuka na kunichangamkia kiasi kiukweli yule binti alikua anataka kuondoka ila nikambembeleza sana akakubali kubaki tulipata vinywaji ila nia yangu ni kumla kimasihara sababu kiukweli kale kabinti kalikua kazuri katikati ya kinywaji akaniambia yy kashatosheka kilevi anahitaki kuondoka nilibembeleza tubaki lakini wapi akasema yy hana shida atachukua tu usafir wk nikaona mzee ntapoteza credit acha niwe gentleman nimpeleke...niliwasha gari ya ofisi niliyokua nayo pale nikampeleka mpk hostel aliyokua amepanga niliongia ndani akanipa glass ya maji kwa kweli nilivutiwa na mpangilio wake wa ndani alikua ni binti msafi...nilikunywa tu maji nikaondoka sikutaka kuonekana mzee fisi japo nilikua namuonea uchu balaa!

Alinipa namba yake nikaona ni ushindi tosha kesho yake nilimtafuta sababu nilikua na mawasiliano nae tayari akarespond vzr tu nikaomba meeting for lunch akakubali..kalikuja kamevaa simple bt classy aisee mzee mzima akili iliniruka nilijikaza kiume baada ya lunch tukapanda hotel niliyofikia...tukaangalia movie kakawa kanakunywa wine kidogo hamuwezi amini jinsi nilivyokua nazidi kukaa nae ndio confidence ikawa inazidi kushuka nikawa naogopa ht kumtongoza aisee! Mzee mzima nilikua km zoba ghafla nikasema.

Baadaye yy mwnyew aliniambia lets sex this wine is making me horny jamani wakuu ilibaki kidogo nizimie kwa furaha nikataka nimrukie kavu akaniambia condom plz! Mbona ilipatikana bila kuchelewa..jamani kumshika yule binti alikua na mwili mlaini sijawahi ona...alikua na body scent nzuri mpk nikajiuliza haka katoto ni nini kanaapply kuglow kiasi hiki??

Wakuu nilikula mzigo yani yule mtoto alikua ni mtamuu kdg nikojoe damu...kwanza alivyovua nguo unatamani umuone masaa yote hajavaa...mashine ilikua ya motooo halaf ndogo km hajafanya vile cha kushangaza mtoto alinikimbiza alinipa shoo wallah sijawah pewa ht na mama chanja nilijiuliza kayajulia wapi huyu mtoto na kanavyoonekana kapole huwezi kadhania.

Jamani kiufupi niliienjoy sana yaani nadhani wakuu mnaelewa raha unayopata ukila demu mzuri..msafi na mtamu! Baada ya pale niwe mkweli niliendeleza shobo kwa yule mtoto mpk week ile nilimaliza kaz na kurud mjini Dar..kenyewe kalibaki kakaendlea na masomo! Nilirud Dar ila niliona kabisa kuna kitu kimepungua kwa ule muda niliokaa na yule mtoto nilisahau shida zotee kalikua ni kapole kasikivu halaf kana mapenzi balaaa ila sikua na jinsi.

Kufupisha ni kua yule binti niliendelea na mahusiano nae muda wotee wakati naishi pale kwao..cha ajabu hakuwahi kupunguza heshima kwa wife na sikuwah kumwambia hilo yule mtoto alikua na akili utadhan mtu mzima ilifikia mida kitu akinishauri nikikifanya lazima nifanikiwe na nikizingua kuMacha kufanya lazima niende mrama!

Kalimaliza chuo kakapata kazi kakafungua na biashara aisee yule binti akili za darasani alizopewa na Mungu sijui ni nani kampa! Nilikaa pale kwao kwa miaka4 mpk nilivyomaliza kujenga kasehemu kangu ila miaka yote huyo si wazazi wake...mke wangu wala mpangaji wa nyumba nyingine aliyegundua mahusiano yetu...japo we had a good time together and naweza kusema ni mtu wa karibu yangu kupita kiasi..amekua akinishauri vitu vingi mnoo na amenisaidia sehemu nyingi sana..yaani umri wake na mambo anayoyafanya ni haviendani.

Kilichofanya nije kutoa kilio changu hapa ni kwamba huyu binti alikuja kuniambia amepata mchumba na anataka kuja kutoa mahari kwao jamani wakuu ilibaki kidogo nichizike..wivu niliousikia sijui niufananishe na nn nilitaka hadi kuumwa ila nikatulia nikakumbuka mm nishaoa itabid kwa upande wake na yy maisha yaendelee!

Nilijaribu kujitoa sana kwenye send off yake walau kulipa fadhila ya jinsi aliyonifanyia kwenye maisha yangu...hapa nnapotype ameshaolewa jamaa aliyemuoa ni mtu wa kwetu huko dah yule mjinga amepata mke mpk nasikia wivu wa hali ya juu shida inakuja ni ninashindwa kumuacha..jamani nafeli kumtoa kichwani.

Nilishamzoea safar zangu nying nilikua naenda nae! Mechi za mpira naangalia nae! She was funny,humble and God fearing...kapole na kasikivu yaani alinifanya nijihisi mwanaume maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka! Ila nilikua nikitoka kulipukiwa nikikawaza kenyewe nasahau shida nafanya kazi kwa umakini na weledi mkubwa!

Kalinionyesha upendo ambao sikuwahi kuuexperience! Kalikua kananipa mechi tamuu na kila siku km kapyaaa aisee yule mwamba amepata kisu kikali na jamaa linaringa kweli yaani kwenye harusi nilikua najitahidi kujichekesha maana nilialikwa km kaka niliekaa muda mrefu kwao na kwa amani ila wife angenichunguza kwa makini angeona jinsi nilivyopigwa kisu cha moyo...kalipendeza km malkia halaf kanaolewa na jamaa mwingine daah! Yaan upendo wote niliopewa anaenda kupewa yule jamaa nyie acheni tu.

Bado nina mawasiliano nae mazuri ila now kawa mke wa mtu najitahidi sana nimuepuke ila wazee wenzangu roho inashindwa nimemzoea sana I took her as a part of my life aisee nini nifanye nimtoe kichwani huyu binti? Six wonderful years with her zinaniumiza sana wakuu!

Ningeomba msinibeze au kunihukumu asikwambie mtu hakuna kitu kinakupa amani mwanaume km mwanamke msikivu,mchapakazi,anaekuheshimu mwenye kukushauri I mean akili kubwa halafu akawa mrembo na mtamu kitandani ni kweli nilitenda dhambi ya kucheat ila nadhan ni huyu aliefanya ndoa yangu imedumu mpk leo..sasa ameshakua wa mwingine nifanyeje kumtoa kichwani huyu binti?
Mkuu naomba nisaidie namba yake tafadhali, nitumie namba yake nimedindisha hapa
 
Futa namba yake ya simu na badili Line ya simu, rudi tu kapambane na mkeo hakuna namna.
Mkuu unamshauri vibaya, kama huyo mke wa mtu ndiyo furaha kwake,basi muache aitafute, furaha huwa inatafutwa kwa nguvu zote, ikiwezekana apambane kwa nguvu zote na avunje ndoa ya huyo mtu ili aendelee kupata furaha ya kudumu, maisha haya ni mafupi na unahitaji kufanya kila linalowezekana kupata furaha ya maisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah....eti huko kwangu ni Afghanistan mabomu daily....[emoji23][emoji23][emoji23]...inaitwa gusa unase.....mkeo mna watoto tayari??
yaani nakuona unatamani mkeo achepuke umfumanie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....ila elewa keshaolewa na ni MUKE YA MANGI........yaheshimu marinda yako....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake tunazidiana vitu vingi, ila heshimu commitment yako. Hata ungeoa huo mchepuko, inawezekana ungepata mchepuko ambao ungemzidi maarifa na tabia njema. Tulia na mkeo na muheshimu kwa kuacha kumfananisha na michepuko. Hata ukutane na malaika, jiambie mke wangu amewazidi wote. Ridhika na cha kwako, ndiyo fungu lako; au unafikiri mkeo hakutani na wanaume waliokuzidi wewe mambo mengi?
Wapi mama mlezi? Umenena haswaaaah
 
Wanawake tunazidiana vitu vingi, ila heshimu commitment yako. Hata ungeoa huo mchepuko, inawezekana ungepata mchepuko ambao ungemzidi maarifa na tabia njema. Tulia na mkeo na muheshimu kwa kuacha kumfananisha na michepuko. Hata ukutane na malaika, jiambie mke wangu amewazidi wote. Ridhika na cha kwako, ndiyo fungu lako; au unafikiri mkeo hakutani na wanaume waliokuzidi wewe mambo mengi?
Ngoja siku nayy mkewe afunguke hapa ndio atajua hajui...anaweza kulia machozi mekundu huyu...lol
 
Dada angu nashukuru ila siwezi simulia humu(it is a small world na inahusisha watoto wangu pia,i have hurt them enough siwez endelea waumiza hata kama hawajui kama kuna JF).Mi sio malaika,nilishakosea sana hususan ukaribu na ex's baad ya ndoa,nikaumiza hisia za watu innocent sana,mara nyingine nikikaa peke yangu najisikia hukumu sana sababu ya mahusiano yangu ya nyuma.
Ukiweza kimbia zinaa kimbia sanaaaaaa,sanaa yaani.Dhambi tamu yenye matokeo machungu always.
nb:sijawaweza kuwa mtakatifu sana ila am still working on my frailties
Kaka Mungu akubariki. Yani hatua ya kuacha dhambi ni kuichukia hyo dhambi. Yani naona heshima unayoipanfamilia yako kwa kwel. Lait wanaume na wanawake wakapata hofu ya Mungu nakuikimbia zinaa kwani chanzo cha matatizo mengi mno ndani ya nyumb. Kwa kweli nakupa salut kaka
 
Back
Top Bottom