Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

mkuu umekuja kuomba ushauri wadada hapo wanakushauri vizuri hutaki unataka wakuunge mkono daah hatari sana

Nawaelewa sana madada zangu hawa na nimependa shauri zao ila wao wanachojaribu ni kufanya km yule mwanamke mwenzao ambae alikua ni mchepuko hakua na wema wwt which is not true.
 
I think is the way people behave towards others in God's way.
Ninavyoelewa mimi God fearing ni kutekeleza aliyoamrisha Mungu na kuacha aliyoyakataza. Ingawaje kuna ubinadamu ktk kwa madahifu unaingia kwenye dhambi na upesi unakumbuka kutubia na kuacha kabisa kwa kumhofia Mungu kua anakuona unayofanya. Sasa uzinzi wa 6yrs yet ts god fearing? Hapana kwa kwel. She is not a fearing God.
 
Hapana mbona tumekuelewa tu: ila tunachojaribu kukwambia ni kwamba pamoja na mema yake yote hakuwa wa kwako. Na kama unaona kwa mkeo ulikosea kuchagua sijui ana tabia mbaya, ungempa talaka ukamuoa mchepuko. Ila hadi inafikia hutamani kuachana na mkeo, basi mazuri yake hata kama ni machache yana nguvu kubwa. Tulia na mkeo ndugu yangu
Nawaelewa sana madada zangu hawa na nimependa shauri zao ila wao wanachojaribu ni kufanya km yule mwanamke mwenzao ambae alikua ni mchepuko hakua na wema wwt which is not true.
 
Yaan huu mchepuko nilikua kuna mida nayumba kiuchumi mpk napagawa ila ananikopea mpk mkopo nafumgua biashara nakuja kumrudishia kidogo kidogo...mtoto anaumwa siko vizuri hela y wife sijui hata imeenda wapi maana hata sigatiliagi anaifanyiaga nn maana yy kila siku hanaga hela katoto ka watu kananitecharge unamrudishia anakwambia hapana hiyo nilikupa sababu ya mtoto wako niliona haukua sawa halafu unataka kunishawishibhakua mtu mwema?? Acha kabisa sista mwanaume mpk nahaha hivi sio bure!
Mkuu hivi bado unamuita mchepuko na bado unataka Kumuacha nakushauri usithubutu Kumuacha atakusaidia na usiache kuwasiliana alikustiri kipindi Upo sudani hivyo usimtupe mwambie kuwa umemiss acha kusikiliza ushauri wa humu ndani asingekuwa yeye kukutuliza usingekuwa hivi ulivyo as of now Jina furaha ya Ndoa yako Kama mke Hata kusupport watoto hajishiki what do you want most..

Mkuu omba Ile Sheria ya SA ifike Kwetu Hawa Wanawake watatuoa wengi tu
 
Yani we mwanaume wa ovyo kabisa, Mungu amfanyie wepes huyo mkeo maana hapa amekula hasara,
Kaa na mkeo chini mwambie yale yote unayotamani mboreshe na mahusiano yenu achana na huo mchepuko wako, tena jua kabisa unafanya dhambi kubwa na shetani kakukalia unajikuta unasifia upuuzi wa huo mchepuko.

Nachukia sana wanaume aina yako, ovyo kabisa.nachukia pia wanawake wanaoingilia ndoa za watu.
Mkeo huko utakuta hakuelewi kumbe ulimbuken wako ndo unaokusmbua.
Useless
 
Mkuu pole sana..mimi ni mwanamke nachelea kusema ulipata mchepuko sahihi ila huna budi kukubali ukweli si wako tena na maisha yaendelee
 
Ninavyoelewa mimi God fearing ni kutekeleza aliyoamrisha Mungu na kuacha aliyoyakataza. Ingawaje kuna ubinadamu ktk kwa madahifu unaingia kwenye dhambi na upesi unakumbuka kutubia na kuacha kabisa kwa kumhofia Mungu kua anakuona unayofanya. Sasa uzinzi wa 6yrs yet ts god fearing? Hapana kwa kwel. She is not a fearing God.

Okay yes she was never God fearing ila such a good woman.
 
Hapana mbona tumekuelewa tu: ila tunachojaribu kukwambia ni kwamba pamoja na mema yake yote hakuwa wa kwako. Na kama unaona kwa mkeo ulikosea kuchagua sijui ana tabia mbaya, ungempa talaka ukamuoa mchepuko. Ila hadi inafikia hutamani kuachana na mkeo, basi mazuri yake hata kama ni machache yana nguvu kubwa. Tulia na mkeo ndugu yangu

Sistaa mi nimekuelewa kabisa...unachojaribu kunielewesha ni kua niheshim commitmend yangu no matter what na nimekuelewa.
 
Mkuu hivi bado unamuita mchepuko na bado unataka Kumuacha nakushauri usithubutu Kumuacha atakusaidia na usiache kuwasiliana alikustiri kipindi Upo sudani hivyo usimtupe mwambie kuwa umemiss acha kusikiliza ushauri wa humu ndani asingekuwa yeye kukutuliza usingekuwa hivi ulivyo as of now Jina furaha ya Ndoa yako Kama mke Hata kusupport watoto hajishiki what do you want most..

Mkuu omba Ile Sheria ya SA ifike Kwetu Hawa Wanawake watatuoa wengi tu

Yaan hata hapa naandika neno mchepuko ili niweze kueleweka na kutofautisha ila jina la mchepuko sio jina lake kabisaa...she is a my other woman who helped and loved me a lot.
 
Sistaa mi nimekuelewa kabisa...unachojaribu kunielewesha ni kua niheshim commitmend yangu no matter what na nimekuelewa.
Basi nashukuru kwa kukuelewa. Huyohuyo na tabia zake mbaya, ndiyo mke wako wa agano, huwezi kumbadilisha; ila muombe Mungu akamfanye kuwa mke mwema. Usimkatie tamaa, na badili mtazamo na maneno unayoyatamka juu yake. Hakuna gumu kwa Mungu
 
Yani we mwanaume wa ovyo kabisa, Mungu amfanyie wepes huyo mkeo maana hapa amekula hasara,
Kaa na mkeo chini mwambie yale yote unayotamani mboreshe na mahusiano yenu achana na huo mchepuko wako, tena jua kabisa unafanya dhambi kubwa na shetani kakukalia unajikuta unasifia upuuzi wa huo mchepuko. Nachukia sana wanaume aina yako, ovyo kabisa.nachukia pia wanawake wanaoingilia ndoa za watu.
Mkeo huko utakuta hakuelewi kumbe ulimbuken wako ndo unaokusmbua.
Useless

Jesus! Nimekua wa ovyo tena? Ww hauna tofauti na wife wazee wa kupanick na kutoa kauli chafu hebu pinguza fujo sista Heaven Sent alikua na uchungu ila alinielewesha kiustaarabu nikamuelewa km mwanamke...sasa haya mambo ya kuita watu malimbukeni mara useless mkiachwa wakapendwa wengine macho yanawatoka! Jifunze kua na kauli nzuri ktk kuwasilisha ujumbe utaeleweka zaidi kuliko kupanick my sister utakuja kunishukuru baadae!

NB:mchepuka haujawahi kua na upuuzi!
 
Basi nashukuru kwa kukuelewa. Huyohuyo na tabia zake mbaya, ndiyo mke wako wa agano, huwezi kumbadilisha; ila muombe Mungu akamfanye kuwa mke mwema. Usimkatie tamaa, na badili mtazamo na maneno unayoyatamka juu yake. Hakuna gumu kwa Mungu

Ameen sister nashukuru kwa ushauri na muda wako juu ya msaada niliuomba.
 
Back
Top Bottom