RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
- #81
Kwa kweli, angekuja kumuoa afu aje aseme kama huo upendo bado upo vilevile. Maisha ya kukutana kwa ajili ya kuchepuka tu, na maisha ya familia ni tofauti kabisa. Hata mkewe naamini alimpenda sana wakati wa dating.
Nilimpenda wife tena sana tu ila trust me wanawake mnazidiana hata maarifa mark that! Mfano ningekutana nao wote waili before ningeoa huyu mchepuko sema niseme haukua mpango wa Mungu!