Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Sista mimi sio mpumbavu nisimuheshimu wife na kumpenda hapa sijataka hata kuandika kasoro za wofe sababu ya heshima tu ila wazazi wangu wenyewe dizaini km wamenitenga sababu ya huyu mwanamke ndugu wa kiume na rfk zangu close kila siku walikua wakiniambia kw nn nisitimue wife nioe huyu kwa matendo aliyonayo wife! Kwanza ubabe pale ndipo ulikozaliwa..dharau yake haijali mkubwa mdogo,mama mkwe wala cha baba mkwe nyie acheni! Atakaloamua ndio kaamua hata km halina faida...kuna muda wakati niko na huyu nilikua najisikia vibaya kwa nn nampenda sana huyu na si wife wangu ngj nijaribu kushauri lbd na yy atabadilika na mm ntakua na ndoa ya furaha...nimebembeleza na kushauri mpk nimechoka zaidi ananiambia nisinpande kichwani ana kazi yake atafanya analoona ni sahihi! Ikabidi nicheke tu nikaushe...naenda kw binti huyu ana kazi na biashara na mshahara kumzidi wife nakuta mtu ni mtii na muelewa nyie acheni! Huyu mangi mwenzangu mpk kufikia kuoa aliona madini aliyonayo huyu binti.
Meku dawa ya mke huyo ni kuvuta mwenzake,dawa ya jeuri ni hiyo
 
Kumuita mwenzako wa hovyo sio vizuri,kila mtu ana yake anayajua mwenyw,sidhani kama uko 100% perfect,watu jamii ya nyie ndo mnaojifanya makanisani/misikitini muda wote kumbe waovu wa kutupwa.
Huyo anastress zake huoni povu lake,istoshe badala ashauri anatokwa povu tu
 
Habari za mida wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.

Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine mazuri pia nikiri ninampenda na yy ananipenda pia ana kasoro zake nadhani na mm nnazo km binadamu ila kusema ukweli mke wangu huyu ana kaubabe,kaujeuri flani na kauvivu ambako kananikwwza ila nisimuhukumu sana yawezekana na mm nina kasoro zangu pia!

Nikienda kwenye point wakati nimetoka kuoa tu nikiwa na umri wa miaka28 tulipanga nyumba maeneo ya Mbezi ilikua ni nyumba nzima lakini ambayo ipo ndani ya fence ambayo mwenye nyumba nae ana nyumba yake kubwa humohumo na ndani ya fence hiyo kulikua na nyumba mbili za kupangisha na nyumba ya mwenye nyumba yetu inakua ya tatu kila mtu nyumba ilikua inajitegemea kuanzia umeme maji na kila kitu hvy kukutana kwetu ilikua ni mara chache sana.

Tulipanga mle mimi na wife kwa muda wa miez km miwili sijawahi kukutana na watoto wa mwenye nyumba...nilikuja kumuona siku kwa kweli bila kificho moyo wangu ulishtuka kidogo alikua ni binti mdogo nilikuja kujua baadae alikua na 20 yrs mrembo mnoo! Alikua ana chocolate colour inayong'aa..ana nywele ndefu na nyeusi..shingo nzuri umbile na miguu ndio usiseme yule binti alikua ni mzuri mpk vidole nna hakika mwanaume yyt angemuona angemuappriciate urembo wake.

Sikuwah kumuongelesha maana nilikua namuona kwa mbali baadae alikuja kupotea machoni kumbe alikua kaenda chuo! Alikua akisoma chuo mikoa ya kati...Nilikuja kupata safari mkoa ule kikazi nilivyomaliza kazi usiku nikasema ngoja nikapate moja baridi kupunguza uchovu na ku explore mkoa ule...nikaenda kiwanja kimoja cha starehe ghafla nikamuona yule binti yuko pamoja na kijana flani mtanashati ila dogo tu it seems ni agemates...niliwaangalia kwa muda nikagundua kua hawakua sawa sababu jamaa alionekana km kasusa kaondoka akamuacha binti! Hahahahaaha!

Nikasema utoto raha sana nilimfata yule binti nikamuona yuko down nikamsalimia kwa bashasha ila hakunikumbuka mapema ila nilivyomkumbusha akanikumbuka na kunichangamkia kiasi kiukweli yule binti alikua anataka kuondoka ila nikambembeleza sana akakubali kubaki tulipata vinywaji ila nia yangu ni kumla kimasihara sababu kiukweli kale kabinti kalikua kazuri katikati ya kinywaji akaniambia yy kashatosheka kilevi anahitaki kuondoka nilibembeleza tubaki lakini wapi akasema yy hana shida atachukua tu usafir wk nikaona mzee ntapoteza credit acha niwe gentleman nimpeleke...niliwasha gari ya ofisi niliyokua nayo pale nikampeleka mpk hostel aliyokua amepanga niliongia ndani akanipa glass ya maji kwa kweli nilivutiwa na mpangilio wake wa ndani alikua ni binti msafi...nilikunywa tu maji nikaondoka sikutaka kuonekana mzee fisi japo nilikua namuonea uchu balaa!

Alinipa namba yake nikaona ni ushindi tosha kesho yake nilimtafuta sababu nilikua na mawasiliano nae tayari akarespond vzr tu nikaomba meeting for lunch akakubali..kalikuja kamevaa simple bt classy aisee mzee mzima akili iliniruka nilijikaza kiume baada ya lunch tukapanda hotel niliyofikia...tukaangalia movie kakawa kanakunywa wine kidogo hamuwezi amini jinsi nilivyokua nazidi kukaa nae ndio confidence ikawa inazidi kushuka nikawa naogopa ht kumtongoza aisee! Mzee mzima nilikua km zoba ghafla nikasema.

Baadaye yy mwnyew aliniambia lets sex this wine is making me horny jamani wakuu ilibaki kidogo nizimie kwa furaha nikataka nimrukie kavu akaniambia condom plz! Mbona ilipatikana bila kuchelewa..jamani kumshika yule binti alikua na mwili mlaini sijawahi ona...alikua na body scent nzuri mpk nikajiuliza haka katoto ni nini kanaapply kuglow kiasi hiki??

Wakuu nilikula mzigo yani yule mtoto alikua ni mtamuu kdg nikojoe damu...kwanza alivyovua nguo unatamani umuone masaa yote hajavaa...mashine ilikua ya motooo halaf ndogo km hajafanya vile cha kushangaza mtoto alinikimbiza alinipa shoo wallah sijawah pewa ht na mama chanja nilijiuliza kayajulia wapi huyu mtoto na kanavyoonekana kapole huwezi kadhania.

Jamani kiufupi niliienjoy sana yaani nadhani wakuu mnaelewa raha unayopata ukila demu mzuri..msafi na mtamu! Baada ya pale niwe mkweli niliendeleza shobo kwa yule mtoto mpk week ile nilimaliza kaz na kurud mjini Dar..kenyewe kalibaki kakaendlea na masomo! Nilirud Dar ila niliona kabisa kuna kitu kimepungua kwa ule muda niliokaa na yule mtoto nilisahau shida zotee kalikua ni kapole kasikivu halaf kana mapenzi balaaa ila sikua na jinsi.

Kufupisha ni kua yule binti niliendelea na mahusiano nae muda wotee wakati naishi pale kwao..cha ajabu hakuwahi kupunguza heshima kwa wife na sikuwah kumwambia hilo yule mtoto alikua na akili utadhan mtu mzima ilifikia mida kitu akinishauri nikikifanya lazima nifanikiwe na nikizingua kuacha kufanya lazima niende mrama!

Kalimaliza chuo kakapata kazi kakafungua na biashara aisee yule binti akili za darasani alizopewa na Mungu sijui ni nani kampa! Nilikaa pale kwao kwa miaka4 mpk nilivyomaliza kujenga kasehemu kangu ila miaka yote huyo si wazazi wake...mke wangu wala mpangaji wa nyumba nyingine aliyegundua mahusiano yetu...japo we had a good time together and naweza kusema ni mtu wa karibu yangu kupita kiasi..amekua akinishauri vitu vingi mnoo na amenisaidia sehemu nyingi sana..yaani umri wake na mambo anayoyafanya ni haviendani.

Kilichofanya nije kutoa kilio changu hapa ni kwamba huyu binti alikuja kuniambia amepata mchumba na anataka kuja kutoa mahari kwao jamani wakuu ilibaki kidogo nichizike..wivu niliousikia sijui niufananishe na nn nilitaka hadi kuumwa ila nikatulia nikakumbuka mm nishaoa itabid kwa upande wake na yy maisha yaendelee!

Nilijaribu kujitoa sana kwenye send off yake walau kulipa fadhila ya jinsi aliyonifanyia kwenye maisha yangu...hapa nnapotype ameshaolewa jamaa aliyemuoa ni mtu wa kwetu huko dah yule mjinga amepata mke mpk nasikia wivu wa hali ya juu shida inakuja ni ninashindwa kumuacha..jamani nafeli kumtoa kichwani.

Nilishamzoea safar zangu nying nilikua naenda nae! Mechi za mpira naangalia nae! She was funny,humble and God fearing...kapole na kasikivu yaani alinifanya nijihisi mwanaume maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka! Ila nilikua nikitoka kulipukiwa nikikawaza kenyewe nasahau shida nafanya kazi kwa umakini na weledi mkubwa!

Kalinionyesha upendo ambao sikuwahi kuuexperience! Kalikua kananipa mechi tamuu na kila siku km kapyaaa aisee yule mwamba amepata kisu kikali na jamaa linaringa kweli yaani kwenye harusi nilikua najitahidi kujichekesha maana nilialikwa km kaka niliekaa muda mrefu kwao na kwa amani ila wife angenichunguza kwa makini angeona jinsi nilivyopigwa kisu cha moyo...kalipendeza km malkia halaf kanaolewa na jamaa mwingine daah! Yaan upendo wote niliopewa anaenda kupewa yule jamaa nyie acheni tu.

Bado nina mawasiliano nae mazuri ila now kawa mke wa mtu najitahidi sana nimuepuke ila wazee wenzangu roho inashindwa nimemzoea sana I took her as a part of my life aisee nini nifanye nimtoe kichwani huyu binti? Six wonderful years with her zinaniumiza sana wakuu!

Ningeomba msinibeze au kunihukumu asikwambie mtu hakuna kitu kinakupa amani mwanaume km mwanamke msikivu,mchapakazi,anaekuheshimu mwenye kukushauri I mean akili kubwa halafu akawa mrembo na mtamu kitandani ni kweli nilitenda dhambi ya kucheat ila nadhan ni huyu aliefanya ndoa yangu imedumu mpk leo..sasa ameshakua wa mwingine nifanyeje kumtoa kichwani huyu binti?

Mkuu mimi ninakulaumu sana kwa kukubali kumuachia huyo mtoto akili kubwaz, ungemfanyia demotion mama chanja umpromote huyo mtoto mzuri....that was your better half, jaman mwanamke akiwa akili kubwaz ni raha mnooo, sasa rest in peace in your hell...ulishindwa kufanya maamuzi sahihi.
 
Rudi mndenyi ukatafune isalee mkuu,utamsahau huyo,japo na mm nna msala kama wako sema kias chake nmejarbu ku move on 60%

Jaman wanaume wenye misala ya hivi tungetafuta namna ya kuumgana na kusaidia ana hii kujifichaficha haitusaidii kwa kweli
 
Yaanii hizo sifa ulilozimwaga hapa,mkeo angepata neema hata ya kusoma tuu na kujua ni mumewe sidhani kama angesubiri urudi akuage,.. mkeo si kitu kwako,humpendi kweli..

Yaani huu uzi umeshavamiwa na wanawake toxic ambao wana judge kwa emotions hakuna namna ya kuwablock wasiharibu uzi?!
 
Labda niseme hv dada usiogope au usidhani mm lbd ni aina ya mwanaume wa kutupa familia au kumdharau wife...trust me the way she is behaving towards me makes me feel like am loosing something so my point ni kua km una mume au utapopata mume jaribu kua mke kwake na si mleta kero utanishukuru baadae.

Mkuu achana kujibishana na hii mikitu unakua kama mgeni hapa JF?! Hawa watakuchosha tu they are toxic broken feminists
 
Mkuu acha tu mwamba nilikua kwenye send off eoho inaniuma ila nacheka kinafki tu...sikupiga hata bia mzee! She is still cool ila ss hv kuna mipaka ya muda ktk mawasiliano...umejuaje ilikua ni mchanganyiko wa kihaya na mmarangu aisee!
Utavujisha siri sasa.
 
Habari za mida wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka.

Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini mnamo mwaka 2015 M/Mungu alinibarikia ndoa takatifu ya kanisa katoliki ambapo nilimuoa binti wa kihaya mrembo...mke wangu ni mzuri,msomi na mengine mazuri pia nikiri ninampenda na yy ananipenda pia ana kasoro zake nadhani na mm nnazo km binadamu ila kusema ukweli mke wangu huyu ana kaubabe,kaujeuri flani na kauvivu ambako kananikwwza ila nisimuhukumu sana yawezekana na mm nina kasoro zangu pia!

Nikienda kwenye point wakati nimetoka kuoa tu nikiwa na umri wa miaka28 tulipanga nyumba maeneo ya Mbezi ilikua ni nyumba nzima lakini ambayo ipo ndani ya fence ambayo mwenye nyumba nae ana nyumba yake kubwa humohumo na ndani ya fence hiyo kulikua na nyumba mbili za kupangisha na nyumba ya mwenye nyumba yetu inakua ya tatu kila mtu nyumba ilikua inajitegemea kuanzia umeme maji na kila kitu hvy kukutana kwetu ilikua ni mara chache sana.

Tulipanga mle mimi na wife kwa muda wa miez km miwili sijawahi kukutana na watoto wa mwenye nyumba...nilikuja kumuona siku kwa kweli bila kificho moyo wangu ulishtuka kidogo alikua ni binti mdogo nilikuja kujua baadae alikua na 20 yrs mrembo mnoo! Alikua ana chocolate colour inayong'aa..ana nywele ndefu na nyeusi..shingo nzuri umbile na miguu ndio usiseme yule binti alikua ni mzuri mpk vidole nna hakika mwanaume yyt angemuona angemuappriciate urembo wake.

Sikuwah kumuongelesha maana nilikua namuona kwa mbali baadae alikuja kupotea machoni kumbe alikua kaenda chuo! Alikua akisoma chuo mikoa ya kati...Nilikuja kupata safari mkoa ule kikazi nilivyomaliza kazi usiku nikasema ngoja nikapate moja baridi kupunguza uchovu na ku explore mkoa ule...nikaenda kiwanja kimoja cha starehe ghafla nikamuona yule binti yuko pamoja na kijana flani mtanashati ila dogo tu it seems ni agemates...niliwaangalia kwa muda nikagundua kua hawakua sawa sababu jamaa alionekana km kasusa kaondoka akamuacha binti! Hahahahaaha!

Nikasema utoto raha sana nilimfata yule binti nikamuona yuko down nikamsalimia kwa bashasha ila hakunikumbuka mapema ila nilivyomkumbusha akanikumbuka na kunichangamkia kiasi kiukweli yule binti alikua anataka kuondoka ila nikambembeleza sana akakubali kubaki tulipata vinywaji ila nia yangu ni kumla kimasihara sababu kiukweli kale kabinti kalikua kazuri katikati ya kinywaji akaniambia yy kashatosheka kilevi anahitaki kuondoka nilibembeleza tubaki lakini wapi akasema yy hana shida atachukua tu usafir wk nikaona mzee ntapoteza credit acha niwe gentleman nimpeleke...niliwasha gari ya ofisi niliyokua nayo pale nikampeleka mpk hostel aliyokua amepanga niliongia ndani akanipa glass ya maji kwa kweli nilivutiwa na mpangilio wake wa ndani alikua ni binti msafi...nilikunywa tu maji nikaondoka sikutaka kuonekana mzee fisi japo nilikua namuonea uchu balaa!

Alinipa namba yake nikaona ni ushindi tosha kesho yake nilimtafuta sababu nilikua na mawasiliano nae tayari akarespond vzr tu nikaomba meeting for lunch akakubali..kalikuja kamevaa simple bt classy aisee mzee mzima akili iliniruka nilijikaza kiume baada ya lunch tukapanda hotel niliyofikia...tukaangalia movie kakawa kanakunywa wine kidogo hamuwezi amini jinsi nilivyokua nazidi kukaa nae ndio confidence ikawa inazidi kushuka nikawa naogopa ht kumtongoza aisee! Mzee mzima nilikua km zoba ghafla nikasema.

Baadaye yy mwnyew aliniambia lets sex this wine is making me horny jamani wakuu ilibaki kidogo nizimie kwa furaha nikataka nimrukie kavu akaniambia condom plz! Mbona ilipatikana bila kuchelewa..jamani kumshika yule binti alikua na mwili mlaini sijawahi ona...alikua na body scent nzuri mpk nikajiuliza haka katoto ni nini kanaapply kuglow kiasi hiki??

Wakuu nilikula mzigo yani yule mtoto alikua ni mtamuu kdg nikojoe damu...kwanza alivyovua nguo unatamani umuone masaa yote hajavaa...mashine ilikua ya motooo halaf ndogo km hajafanya vile cha kushangaza mtoto alinikimbiza alinipa shoo wallah sijawah pewa ht na mama chanja nilijiuliza kayajulia wapi huyu mtoto na kanavyoonekana kapole huwezi kadhania.

Jamani kiufupi niliienjoy sana yaani nadhani wakuu mnaelewa raha unayopata ukila demu mzuri..msafi na mtamu! Baada ya pale niwe mkweli niliendeleza shobo kwa yule mtoto mpk week ile nilimaliza kaz na kurud mjini Dar..kenyewe kalibaki kakaendlea na masomo! Nilirud Dar ila niliona kabisa kuna kitu kimepungua kwa ule muda niliokaa na yule mtoto nilisahau shida zotee kalikua ni kapole kasikivu halaf kana mapenzi balaaa ila sikua na jinsi.

Kufupisha ni kua yule binti niliendelea na mahusiano nae muda wotee wakati naishi pale kwao..cha ajabu hakuwahi kupunguza heshima kwa wife na sikuwah kumwambia hilo yule mtoto alikua na akili utadhan mtu mzima ilifikia mida kitu akinishauri nikikifanya lazima nifanikiwe na nikizingua kuacha kufanya lazima niende mrama!

Kalimaliza chuo kakapata kazi kakafungua na biashara aisee yule binti akili za darasani alizopewa na Mungu sijui ni nani kampa! Nilikaa pale kwao kwa miaka4 mpk nilivyomaliza kujenga kasehemu kangu ila miaka yote huyo si wazazi wake...mke wangu wala mpangaji wa nyumba nyingine aliyegundua mahusiano yetu...japo we had a good time together and naweza kusema ni mtu wa karibu yangu kupita kiasi..amekua akinishauri vitu vingi mnoo na amenisaidia sehemu nyingi sana..yaani umri wake na mambo anayoyafanya ni haviendani.

Kilichofanya nije kutoa kilio changu hapa ni kwamba huyu binti alikuja kuniambia amepata mchumba na anataka kuja kutoa mahari kwao jamani wakuu ilibaki kidogo nichizike..wivu niliousikia sijui niufananishe na nn nilitaka hadi kuumwa ila nikatulia nikakumbuka mm nishaoa itabid kwa upande wake na yy maisha yaendelee!

Nilijaribu kujitoa sana kwenye send off yake walau kulipa fadhila ya jinsi aliyonifanyia kwenye maisha yangu...hapa nnapotype ameshaolewa jamaa aliyemuoa ni mtu wa kwetu huko dah yule mjinga amepata mke mpk nasikia wivu wa hali ya juu shida inakuja ni ninashindwa kumuacha..jamani nafeli kumtoa kichwani.

Nilishamzoea safar zangu nying nilikua naenda nae! Mechi za mpira naangalia nae! She was funny,humble and God fearing...kapole na kasikivu yaani alinifanya nijihisi mwanaume maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka! Ila nilikua nikitoka kulipukiwa nikikawaza kenyewe nasahau shida nafanya kazi kwa umakini na weledi mkubwa!

Kalinionyesha upendo ambao sikuwahi kuuexperience! Kalikua kananipa mechi tamuu na kila siku km kapyaaa aisee yule mwamba amepata kisu kikali na jamaa linaringa kweli yaani kwenye harusi nilikua najitahidi kujichekesha maana nilialikwa km kaka niliekaa muda mrefu kwao na kwa amani ila wife angenichunguza kwa makini angeona jinsi nilivyopigwa kisu cha moyo...kalipendeza km malkia halaf kanaolewa na jamaa mwingine daah! Yaan upendo wote niliopewa anaenda kupewa yule jamaa nyie acheni tu.

Bado nina mawasiliano nae mazuri ila now kawa mke wa mtu najitahidi sana nimuepuke ila wazee wenzangu roho inashindwa nimemzoea sana I took her as a part of my life aisee nini nifanye nimtoe kichwani huyu binti? Six wonderful years with her zinaniumiza sana wakuu!

Ningeomba msinibeze au kunihukumu asikwambie mtu hakuna kitu kinakupa amani mwanaume km mwanamke msikivu,mchapakazi,anaekuheshimu mwenye kukushauri I mean akili kubwa halafu akawa mrembo na mtamu kitandani ni kweli nilitenda dhambi ya kucheat ila nadhan ni huyu aliefanya ndoa yangu imedumu mpk leo..sasa ameshakua wa mwingine nifanyeje kumtoa kichwani huyu binti?
Eti she was God fearing wakati mlikuwa wazinzi tu
 
Hujaelewa tofauti jombaa! Wife ni muajiriwa serikalini ila mshahara wake Mungu ananiona sijui anafanyiaga nn nimekausha sababu nna uwezo wa kunhandle familia na kumlisha yy! Km binadamu nafika time nakwama namuomba msaada ananiambia si ukope ht kwa rafiki zako huko mi hela naolitolea wapi! Mind that nanunua kila kitu ndani...nimejenga kwa hela yangu full msaada nikikwama napewa na huyu binti nnaemuita mchepuko...mtu amenikopea mil12 akaniamini akanipannimeanza biashara namlipa kidogokidogo huku huyu wife johncena anakula tu matunda ya biashara ya mwanamke mwenzake halafu unasema nisimthamini huyu binti ntakua na akili??? Mambo hayakwenda sawa mtoto nusu akae nyumbani kisa ada binti wa watu ananiazima namrudishia nafikia nusu deni anasema basi baby umenisaidia vingi hiyo iliyobaki fanyia mambo mengine na mama wa mtoto yupo kabandika makucha km zimwi na wigi lake km mpoki hana time anasema kopa ht kwa rfk zako mi sina hela hlf nisipagawe kuachana na huyu bi dada? Baby zu hayuko serious ht kdg

We ni boga sana mkuu kukubali kumuacha huyu mtoto kwa sababu eti una ndoa
 
Na wewe ni toxic nani..??

Mimi huwa sipendi anawasilisha changamoto yake anahitaji ushauri wa kujenga, wanafiki hasa wanawake wanaanza kumlaumu, kumtukana na kumfanya ajione ni mwovu kuliko shetani. As long as tunaishi tutaendelea kukosea daima, kikubwa ni kushauriana with facts bila kuweka emotions.
 
Duuuh...! Napataga faraja nikisomaga comment za namna,kumbe siko peke yangu kwenye haya mapitio ya ndoa. Halafu ukimwambia leo ndio mwisho,niliwahi kupakia mizigo yote ndani ya nyumba kwenye canter,na yeye nikamwambia twende,wanaitaga watu wote,mchungaji,wazee,majirani. Hawatakagi kuondoka
Hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom