Dinatalelee
Member
- Oct 19, 2021
- 8
- 42
- Thread starter
- #21
Asante sana kwa msaada uliotaka kunipa nipo Dar es salaamKama upo arusha nitafute tuongee nitakusaidia kwa kipindi ambacho hauna uwezo wa kumlea mpaka utakapokaa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa msaada uliotaka kunipa nipo Dar es salaamKama upo arusha nitafute tuongee nitakusaidia kwa kipindi ambacho hauna uwezo wa kumlea mpaka utakapokaa sawa
Asante kwa ushauriMasikini pole sana. Usimgawe mtoto wewe gangamala tu. Ila mtoto bado mdogo kutelekezwa na mama yake mzazi jamani.
Tafuta binti wa kazi kwa vile uwezo wa daycare huna mtoto bado ni mdogo huyo.
Mungu atakusaidia. Anaweza tokea msamaria mwema akakusaidia.Asante kwa ushauri
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Utakuwa na roho ya ajabu sana kumgawa mtoto wako halafu bado ukaendelea kujiita mwanaume nimejikuta nashikwa na hasira za ghafla tu yani mkuu kiukweli ningekuwa karibu na wewe ningekutia makofi heavy .Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
ULIOAJE NA KUZAA BILA KUWA NA UWEZO WA KUTUNZA MTOTO? Ndio maana mke kakukimbia sababu hauna mipango ya maisha. Na mtoto ni wajibu wa baba na mama. Kama yeye amemtelekeza, ungekuwa ni mtu wa mipango usingeshindwa. Mimi sipendi kabisa watu mnazaa halafu mnataka wengine wawasaidie kulea. Kwendaaa!!!Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Wapumbavuu sana. Wanazaa tu bila mipango. Pambaf kabisa huyu jamaa.Unataka kugawa mtoto wako akalelewe na kuchukuliwa na mtu mwingine. Huyo mtoto masikini amezaliwa kwenye shida na ni mtoto wa kike, mama kamtelekeza na baba anataka amgawe. Ningekuwa na uwezo ningemchukua nimlee kwa miaka hata mitatu maana naona kwa hapo lazima taifa lipate hasara.
Hapa nimestaajabu sana[emoji848]Kama nimekusoma vizuri, unataka kumgawa kwa mtu, ikibidi awe wake kabisa.
Very true alichokosea ni kumtelekeza na mtoto ila jamaa ni jangaKwamba unataka kumgawa jumla sababu wewe umeshindwa kumlea, what a wonder[emoji23]
Naanza kuwaza kama vile mkeo yuko yuko sahihi kukukimbia vilee?