Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Dar upo sehemu ganiAsante sana kwa msaada uliotaka kunipa nipo Dar es salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar upo sehemu ganiAsante sana kwa msaada uliotaka kunipa nipo Dar es salaam
WTF[emoji24]Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Kama elfu ya kula shida, hiyo ada ya day care ataiweza?Mpeleke Day care mkuu, jioni sister anampitia
Shetani akiwa akiwa bize uwa anatuma mwanamke katika majukumu yake mengine.Nipo hapa nawaza ni mwanamke wa aina gani anayeweza kuzaa na kutelekeza mtoto tena mwaka na nusu ameanza na kuita MAMA
Anyway, mtoto hana bibi yake? Au hata kwa dada yako unaweza tafuta msaidizi wa kazi akawa anamuangalia hadi anaporejea toka kwenye biashara zake
Jaribu kufanya hivyo mkuu mother nature itakulipa kwa namna yoyote ile.Unataka kugawa mtoto wako akalelewe na kuchukuliwa na mtu mwingine. Huyo mtoto masikini amezaliwa kwenye shida na ni mtoto wa kike, mama kamtelekeza na baba anataka amgawe. Ningekuwa na uwezo ningemchukua nimlee kwa miaka hata mitatu maana naona kwa hapo lazima taifa lipate hasara.
Duh jamani..na hata baba mtu halisi hajawahi kumtafuta mwanae?Shetani akiwa akiwa bize uwa anatuma mwanamke katika majukumu yake mengine.
nilitelekezewa mtoto mdogo 2 years na mtoto si damu yangu, yule bidada akatokomea leo ni miaka 10 na ushee mtoto bado ninae na hakuna anae jua kuwa si mwanangu hata sister anae m- babysit nae hajui kuwa si mwanangu.
sijui siku nikimuambia sister kuwa huyo dogo si damu yangu ata react vipi.
HAPANA.Duh jamani..na hata baba mtu halisi hajawahi kumtafuta mwanae?
Basi afanye mchakato wa kumpeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima(yaani mpaka hapo mi namuhesabia huyo ni mtoto yatima aliekosa baba na mama)Kama elfu ya kula shida, hiyo ada ya day care ataiweza?
Sasa si upambane mzee kutafuta ili mtoto asiteseke.halafu unataka umgawe kwa mtu akamlee hivi hujisikii uchungu? Aisee mi mwanangu akikaa nyumbani kwetu tu sina amani ijekua kwa mtu baki daah mna moyo sana nyie watu.Mi mwenyewe namshangaa huyu mwanamke kwa kweli maana mtoto mwenyewe ni wa kike na mzuri sana tu shida msichana wa kazI inabidi kumpangia chumba manaa kwa sister kumejaa.
Bora ujiue ufe tujuwe mtoto ni yatima hana mzazi. Pumbavu weweKwa iyo kumtupa mtoto na kumgawa kipi ni bora?
Si vizuri kumchosha Bibi wakati alishaleq Mimi nikiwa Bibi silei mtoto wa mtu aiseeMpelekee kwa bib mzaa mama
Halafu watu wasio na mbele wala nyuma hupenda sana chini na kuzaa bila kufikiria kuwa mtoto ni matunzo na maleziWapumbavuu sana. Wanazaa tu bila mipango. Pambaf kabisa huyu jamaa.