Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Hilo wazo la kumgawa mtoto linanitafakarisha sana hadi naona huyo mama aliye kuachia mtoto anastaili maana angeondoka naye usingemsaidia kwa chochote
Hadi kuondoka na vitu ni halali yake maana kwa maelezo yako inaonyesha vitu ni vyake
N.k
Kaka wewe ni mwanaume simama kiume
Umeachiwa mtoto ni mdogo lakini kwa uwezo wa Mungu utaweza kumlea
Si kushauri umgawe mtoto kama tunavyogawa vitu ambavyo hatuviitaji mf. Nguo, simu, vyombo n.k
Tafuta mbinu za kutatua hiyo changamoto maana mazingira uliyo nayo unayajua
ILA
Acha uvivu, fanya kazi yoyote alali kama ukienda kwenye ujenzi omba kuwa saidia fundi baada ya muda ikija swala la umeme unasema wewe ndio fundi kidogo kidogo unapata conection
Acha utoto tambua wewe ni mkubwa na
Akili yako iwe ya kikubwa siyo ya kitoto
Acha woga wa maisha wa kutokudhubutu
Acha mawazo mgando
Simama kama baba na mtoto wako
Naamini ukiamua unaweza Kujiudumia wewe na mwanao
Mwisho tambua ulipo kosea mmalize tofauti zenu wewe na mama mtoto KAMA ITAWEZEKANA maana huyo mama ni mzuri toka mwanzo sema tu ulimbadilisha mpaka ikatokea kilichotokea
Kama haiwezekani endelea na maisha