Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Yaani kuuza kiungo cha uzazi....
Mkuu Asprin kwema? Ukiwa kama kaka mkubwa na mkongwe humu ndani jitahidi ummshike mkono huyo dada yetu na uhakikishe unamvusha ng'ambo ya pili kama Musa aliyoyafanya kwa wanawaisrael. Baada ya wewe kufa basi mimi nitashika hicho kijiti kama ambavyo Joshua na Kaleb walivyokuwa.
 
We jamaa umenichekesha msibani...

Tatizo kasema ameshachoka kudanga

Hamna namna tena
 
We jamaaa
 
Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…