Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Unataka uitumie?

Jaribu Newborn9 au Oldborn 9.[emoji2960][emoji2960]
Unajua mkuu I'd kongwe Ni rahisi zaidi kusaidika kuliko hizi ngeni ngeni,

Tunakua tunahisi harufu ya utapeli zaidi kuliko hizi I'd kongwe.

Mfano: Karucee au Extrovert au financial services na wengineo wakija kusema wamekwama Ni rahisi zaidi kuguswa na kujitolea bila kujishaur Mara mbilimbili maana Kila Mara tuko nao humu KWENYE furaha na huzuni
 
Uandishi wake sio wa mtu mgeni humu.

I'd inavoonekana imetengenezewa leo leo Tena chap chap sana ili Kuanzisha uzi[emoji4]
View attachment 2076046
Mi huwa najiuliza all that for what?

Pamoja na anonymity ya JF lakini bado wanahitaji new IDs?

Halafu unakuja kupanga kukutana na such a person. Utarudi bila kengele *****.
 
Unajua mkuu I'd kongwe Ni rahisi zaidi kusaidika kuliko hizi ngeni ngeni,

Tunakua tunahisi harufu ya utapeli zaidi kuliko hizi I'd kongwe.

Mfano: Karucee au Extrovert au financial services na wengineo wakija kusema wamekwama Ni rahisi zaidi kuguswa na kujitolea bila kujishaur Mara mbilimbili maana Kila Mara tuko nao humu KWENYE furaha na huzuni
Oh yes na despite anonymity kuna watu humu tunawachukuliana kuwa marafiki au hata ndugu na kusaidiana ni rahisi sana.

Sasa unakuja na bandiko, tena la kuchoka kudanga halafu una mtoto.

Cant you at least respect your child, au mtoto anatumiwa kuonyesha despair?
 
Oh yes na despite anonymity kuna watu humu tunawachukuliani marafiki au hata ndugu na kusaidia ni rahisi sana.

Sasa unakuja na bandiko, tena la kuchoka kudanga halafu una mtoto.

Cant you at least respect your child, au mtoto anatumiwa kuonyesha despair?
Anahofia online bullying labda kwa post zake za nyuma.

Ila Kama kweli unahitaj msaaada hata Kama una mabaya 2, Kama mazuri yako Ni mengi bado utasaidiwa TU humu.

Awe muwazi TU, otherwise awafate inperson watu pm asaidiwe kimya kimya[emoji4]
 
Namuomba Mungu siku zote akanijalie nikawe msaada kwa wengine kama kwa aliye leta mada hii.
Namuonea huruma sana sana mtoto pamoja na mama kwa aina ya maisha niliopitia changamoto wanayopitia naijua.

Uma wa watu waliopo hapa jukwaani naami naamini hatakosekana mmoja atakae jaaliwa kumsaidia[emoji120]
 
Amina
 
Mi huwa najiuliza all that for what?

Pamoja na anonymity ya JF lakini bado wanahitaji new IDs?

Halafu unakuja kupanga kukutana na such a person. Utarudi bila kengele *****.
Mixed feelings mkuu,
Tusiwalaumu Sana maana Kuna MDA mtu anatingwa hajui kipi Ni sahii kipi anakosea.

Mtu anapokua frustrated sio vizur Sana kumlaumu maana ndo unazid kumvuruga.

Kama yuko serious kweli atasaidiwa TU.
 
Back
Top Bottom