Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.

Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.

Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Duuh
 
Kila single mother anadanga awe na kazi asiwe na kazi, peleka mtoto kwa baba yake uendelee kudanga usimuharibu mtoto!
 
Back
Top Bottom