Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Mnajifanya watakatifu pale tu inapowapendeza. Jumapili wa kwanza kupokea mkate na divai huku mme-clasp mikono mbele kuonyesha unyenyekevu feki. Baada ya hapo mnawinda wenzenu kama wanyama wa kuliwa!! Mnatetea wezi wa chaguzi na nyie wenyewe kuhusika. Ni nini tofauti ya dhambi hiyo na ile ya kudanga?
Anzisha uzi kuhusu hizo kura tujadili mkuu Omusolopogasi


Hapa hoja ilikua moja na mimi nilitoa mchango kwa yule aliyechoka kudanga
 
Namshukuru Mungu injili yangu imeanza kusikika na kufanya kazi .

Dada zangu fanyeni kazi.Pesa za mwanaume ni utumwa na hazikupeleki popote
 
Mnajifanya watakatifu pale tu inapowapendeza. Jumapili wa kwanza kupokea mkate na divai huku mme-clap mikono mbele kuonyesha unyenyekevu feki. Baada ya hapo mnawinda wenzenu kama wanyama wa kuliwa!! Mnatetea wezi wa chaguzi na nyie wenyewe kuhusika. Ni nini tofauti ya dhambi hiyo na ile ya kudanga?


Poleee, maana sio kwa povu hilo
Hadi umeamua kuwa Mungu mtoa hukumu na malaika asiyekua na dhambi sio mchezo

Huu uzi unamhusu mtu aliyekiri kwa kinywa chake amechoka kudanga na ndio chanzo cha comment yangu.
Hayo ya kupokea mkate na divai unayoyaita unyenyekevu feki wahusika hawajakiri wala mimi na wewe sio Mungu ili tupitishe hukumu

Pole tena
 
Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.

Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.

Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Mume hautaki?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Muomba msaada wala hajibu Coment za msingi anajibu za pole tu wewe umeamuwa kuwa wazi hapa jukwwani ili uasaidiwe sasa unaficha nini kuwaambia watu kuwa una umri gani, unapatikana wapi na una ujuzi au uwezo wa kufanya kazi zipi ili watu walio eneo la karibu waweze kukupa msaada wa kazi na walioko mbali wakajua wakusaidieje sasa unaficha nini
 
Mkuu Asprin kwema? Ukiwa kama kaka mkubwa na mkongwe humu ndani jitahidi ummshike mkono huyo dada yetu na uhakikishe unamvusha ng'ambo ya pili kama Musa aliyoyafanya kwa wanawaisrael. Baada ya wewe kufa basi mimi nitashika hicho kijiti kama ambavyo Joshua na Kaleb walivyokuwa.
Una hakika gani ni mdada au ni tapeli? Dunia nyingine hii, tena usikute unayesema tumsaidie ndo wewe hiyo hiyo Kwa ID tofauti
 
Just be genuine, hakuna mtu perfect.

We each have our own demons.

You have said more than what is needed.

Na kwa kuongezea, you don't have to be perfect or an Angel ili usaidiwe. Mtu akiamua kukusaidia, atafanya hivyo kwa kua ameamua kufanya hivyo ila sio kwa vile hauna mawaa.

Are you good lakini?
 
Uko wapi, una umri gani na baba wa mtoto yuko wapi? Njoo dm kama huwez kujibu hapa
 
Back
Top Bottom