Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Kuna mtu humu alisema tusiwaonee huruma wadada..sasa itakuwaje???
 
Watu wanarefusha uzi bila msaada.

Mdada kama upo Korogwe naweza kukuunganisha na mtu na ukafanya kazi kama mtu unayezungukia vikundi vya BRAC ukiwa na bidhaa fulani hivi.

Malipo yatatokana na hizo bidhaa utakavyokua unazitoa, kila bidhaa ina % yake. Kama upo Korogwe na unataka maelezo zaidi nicheki.
Tatizo anaulizwa maswali muhimu badala ajibu hapa anajibu inbox, mahali alipo ilikua ni muhimu kuweka wazi na aina ya kazi ambayo anaiweza ili apate msaada wa haraka badala ya kujibu inbox.
 
Watu wanarefusha uzi bila msaada.

Mdada kama upo Korogwe naweza kukuunganisha na mtu na ukafanya kazi kama mtu unayezungukia vikundi vya BRAC ukiwa na bidhaa fulani hivi.

Malipo yatatokana na hizo bidhaa utakavyokua unazitoa, kila bidhaa ina % yake. Kama upo Korogwe na unataka maelezo zaidi nicheki.
Hapana sipo huko
 
Mkuu Asprin kwema? Ukiwa kama kaka mkubwa na mkongwe humu ndani jitahidi ummshike mkono huyo dada yetu na uhakikishe unamvusha ng'ambo ya pili kama Musa aliyoyafanya kwa wanawaisrael. Baada ya wewe kufa basi mimi nitashika hicho kijiti kama ambavyo Joshua na Kaleb walivyokuwa.
Baada ya yeye kufa au sio [emoji2]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unajua mkuu I'd kongwe Ni rahisi zaidi kusaidika kuliko hizi ngeni ngeni,

Tunakua tunahisi harufu ya utapeli zaidi kuliko hizi I'd kongwe.

Mfano: Karucee au Extrovert au financial services na wengineo wakija kusema wamekwama Ni rahisi zaidi kuguswa na kujitolea bila kujishaur Mara mbilimbili maana Kila Mara tuko nao humu KWENYE furaha na huzuni
Kweri kabisa yani ila ID ikija mpya inakuwa inatilia mashaka
 
Kuna katabia fulan ka kipimbi sana, hivi hii tabia ya kwenda kuangalia mtu kajiunga lini inakusaidia nn? Huu ni upimbi kabisa kama hauwez msaidia mtu kaa kimya sio kuchonga chonga kama kima ,, kumsaidia mtu mpama awe amejiunga gn?
 
Unajua mkuu I'd kongwe Ni rahisi zaidi kusaidika kuliko hizi ngeni ngeni,

Tunakua tunahisi harufu ya utapeli zaidi kuliko hizi I'd kongwe.

Mfano: Karucee au Extrovert au financial services na wengineo wakija kusema wamekwama Ni rahisi zaidi kuguswa na kujitolea bila kujishaur Mara mbilimbili maana Kila Mara tuko nao humu KWENYE furaha na huzuni
Hivi @mwifa yuko wapi
 
Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.

Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.

Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Inaumiza sana.
Kuna wakati wanawake ni wa kuhurumiwa mno.
Imejini huyu anadanga alee mtoto na unakuta toto ni la kiume, likikua linamsahau manake na lenyewe linaanza kuhangaika na wanawake wenhine....maisha haya daah
 
Back
Top Bottom