Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Msaada unahitajika nimechoka kudanga

Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.

Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga.

Back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Pole uko wapi unafanya nini?
 

Huyu mbona haukumjibu PM
Nilikosea
Nilijua natuma inbox kumbe ni tofauti
Pia haikuwa kumjibu bali ilikuwa ni kumshukuru kwa namna alivoonesha kutaka kunisaidia.
 
Back
Top Bottom