Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Asante ndugu yangu kwa ushauri, nimekuelewa na nitafanya hivyo. Umesema niachane na wanga kabisa, swali langu nikiachana na wanga ni chakula gani ntakula mkuu? Nikiachana na ugali na wali?
Ukianza kuona unarudi katika hali walau ya kuridhisha nicheki tena nikutajia dawa nzuri ya asili itayokusaidia kuongeza hamu kwa kasi sanaaa sana sana, utaipata hata hapo unapoishi bila gharama yoyote na utakuwa na hamu sana mkuu hofu yangu usije ukabaka watu, jitibu kwanza nliyokueleza ukiona ahueni nitamalizia hili lililobaki, feel free kuniuliza chochote ata PM natoa uzoefu huu buuuureeee kabisa.
 
Asante sana mkuu, ntafanya hivyo
 
Mbona huku kwetu Kuna wazee ni mabingwa wa hayo matibabu
 
Ahaaa, sawa mkuu ntakucheki PM . Asantee sana
 
Mi nko mbeya Kuna ndugu yangu aliwahi kuwa na tatzo kama ILO ila yeye sio la kuzaliwa nalo halipata baada ya kutumia vileo visivyo eleweka
 
M
Mkuu itaje hiyo dawa itasaidia na wengine pia
 
Mi nko mbeya Kuna ndugu yangu aliwahi kuwa na tatzo kama ILO ila yeye sio la kuzaliwa nalo halipata baada ya kutumia vileo visivyo eleweka
Oooh!!! Alitumia dawa ya hospital au mitishamba?
 
Oooh!!! Alitumia dawa ya hospital au mitishamba?
Matatizo ya nguvu za kiume solution yake ipo katika vipengele vitatu: chakula,mazoezi na tiba asili. Nje na hapo sidhani kama ipo tiba ya kudumu, tujitahidi sana kufuatilia hata humu mitandaoni wapo wataalamu wengi sana waliobainisha hii elimu kwa upana sana, tutenge muda kufuatilia dawa zipo nyingi sana.
 
Hapa duniani labda ukatike uune ndo itakuwa imeshindikana kupata suluhu. Tofauti na hapo acha kukata tamaa...

1. Amini ya kwamba huna tatizo

2. Jiepushe na shughuli yoyote inayohusisha ngono walau kwa miezi mi3

3. Kula vyakula vyenye virtubisho na maji ya kutosha

4. Fanya mazoezi hasa aerobic/cardio

5. Pumzika muda wa kutosha

6. Usiku hakikisha unalala

Nguvu za kiume ni kitu kinachozalishwa na kujitunza. Sasa kama hutunzi na kutumia zote, unafikiri utabakiwa na nini?

Fanya Semen retention. Utakuwa sawa.

Uponyaji wa tatizo upo ndani mwetu na hutokea muda wote ila pale mtu mwili na akili zinapokuwa salama.
Ukisubiri uponyaji tokea nje, huleta madhara baadae.
Asante
 
Una kilo ngapi,una kitambi ? ,Pima kisukari Pima presha na homorne imbalance
 
Habarini ndugu wanaJF, nilikuja hapa kuomba msaada au ushauri wa changamoto yangu.
Naomba nichukue nafasi hii kuwashukru wote ambao wameonyesha nia ya kunisaidia na wengine wamenisaidia.

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukru ndugu Dr Luu kwa tiba ambayo alinipatia na pia amekuwa bega kwa bega na Mimi kuendelea kunipatia tiba na ushauri wa kujua maendeleo yangu, hakika Mungu ambariki sana.

Dr Luu Mungu akubariki, now naendelea vizuri.

Na wengine wengi nao nawashkuru sana, tuendelee kuishi kwa upendo na kusaidiana.
 
Nina formula uza kutibu nguvu kwa elf 22 tu za matunda lakin kabla hujatumia formula yaangu chukua kipande cha naz muhogo na parachichi moja kula kisha kunywa maji barid nusu lita asubuh na jion uone matokeo yake kisha njoo unitafute maaana utakua ushaniamin kwa tiba ya bure uje kwa ajil ya tiba ya kulipia
 
Kwa wale walikua wakisubiri dawa ziko tayari, wanaweza nitafuta Kwa NAMBA 0711553826
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…