Unakwenda kijiji cha Butiama kwa Nyerere yalipo makao makuu ya wilaya?Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
Sahihi.Hapo kwenye Kiabakari atasema anashuka Nyamisisye.Unakwenda kijiji cha Butiama kwa Nyerere yalipo makao makuu ya wilaya?
Kama ndio, uliza basi zuri linalokwenda Tarime utashuka Kyabakari, pale kuna tax na Bodaboda uamuzi ni wako utapelekwa Butiama.
Unapotokea Mwanza mabasi hayapiti Butiama hivyo ni lazima ushuke hapo Kyabakari ndio upande Bodaboda au tax nauli ya kawaida tu watakupeleka hapo Butiama.
Nayo ni njia nyingine kwa kutokea Dar-Arusha-Musoma.✓Panda bus la Dar -Tarime au Dar- Musoma ukifika njiapanda ya Musoma Tarime shuka . Au fika stand Musoma kapata coaster za kwenda Butiama
Unampoteza, au hicho Chuo nipo karibu na makutano?Panda bus la Dar -Tarime au Dar- Musoma ukifika njiapanda ya Musoma Tarime shuka . Au fika stand Musoma kapata coaster za kwenda Butiama
Nayo ni njia.Atafika.Unampoteza, au hicho Chuo nipo karibu na makutano?
Nieleze kwanza hicho Chuo kipo sehemu gani?Nayo ni njia.Atafika.
Kipo Butiama kama alivyoeleza.Anaweza kufika hapo Makutano na kupata usafiri unaopita katikati kuiacha njia ya Mwanza na kuelekea Butiama moja kwa moja.Au akaendelea kutoka Makutano na kuelekea hadi Nyamisisye.Halafu atafute usafiri kwenda moja kwa moja Butiama kupitia Nyankanga.Hapo vipi?Nieleze kwanza hicho Chuo kipo sehemu gani?
Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
Makutano kituo cha kupatia usafiri wa kufika chuoUnampoteza, au hicho Chuo nipo karibu na makutano?
Hii shida yote ya nini wakati akipanda basi la Tarime na kushuka Kyabakari anapanda Bodaboda tu kwenda Butiama, ni kwa nini ajisumbuwe na mzunguko usiokuwa na tija yoyote?Kipo Butiama kama alivyoeleza.Anaweza kufika hapo Makutano na kupata usafiri unaopita katikati kuiacha njia ya Mwanza na kuelekea Butiama moja kwa moja.Au akaendelea kutoka Makutano na kuelekea hadi Nyamisisye.Halafu atafute usafiri kwenda moja kwa moja Butiama kupitia Nyankanga.Hapo vipi?
Unaweza kunielekeza straight natokea MOROGORO napanda bus la kwenda wapi nashukia wapi na naelekea wapi Ili kufika hapo butiama, just short and clear boss wangu fanya hivyo asee.Kipo Butiama kama alivyoeleza.Anaweza kufika hapo Makutano na kupata usafiri unaopita katikati kuiacha njia ya Mwanza na kuelekea Butiama moja kwa moja.Au akaendelea kutoka Makutano na kuelekea hadi Nyamisisye.Halafu atafute usafiri kwenda moja kwa moja Butiama kupitia Nyankanga.Hapo vipi?
Umenichanganya boss, bus napanda la kwenda Tarine au la kwenda Mara ?. Umenielekeza as If napafahanu kindaki ndaki boss wangu, unaweza kunielekeza kwa kifupi tu natoka na bus la Morogoro napanda bus linaloenda mkoa Gani ? Kisha nashukia wapi na napanda gari la kuelekea wapi tena Ili nifike hapo butiama ? Short and clear my bossUnakwenda kijiji cha Butiama kwa Nyerere yalipo makao makuu ya wilaya?
Kama ndio, uliza basi zuri linalokwenda Tarime utashuka Kyabakari, pale kuna tax na Bodaboda uamuzi ni wako utapelekwa Butiama.
Unapotokea Mwanza mabasi hayapiti Butiama hivyo ni lazima ushuke hapo Kyabakari ndio upande Bodaboda au tax nauli ya kawaida tu watakupeleka hapo Butiama.
Route ni Morogoro, Dodoma, Singida, Igunga, Nzega, Shinyanga, Mwanza to Musoma.
Hapo Morogorogo bus la Nyehunge unaliona.Umenichanganya boss, bus napanda la kwenda Tarine au la kwenda Mara ?. Umenielekeza as If napafahanu kindaki ndaki boss wangu, unaweza kunielekeza kwa kifupi tu natoka na bus la Morogoro napanda bus linaloenda mkoa Gani ? Kisha nashukia wapi na napanda gari la kuelekea wapi tena Ili nifike hapo butiama ? Short and clear my boss
Mkuu si anafika usiku mkali huyo. Ni vyema tumsaidie pia na muda anaofikaPanda bus la Moro - Musoma au Moro - Tarime, shuka sehemu kituo kinaitwa Sabasaba......mwambie boda akupeleke Mwl Nyerere Agriculture University au iliyokua Oswald Mang'ombe High School
Kesho yake uunge za ButiamaHapo Morogorogo bus la Nyehunge unaliona.
Kiujumla panda Magari ya Musoma.
Kwa sababu unafika usiku kwanini usifike msoma stendi kabisa ulale kesho yake utafute gari za butiama.
Mara ni nyumbani, saa nane usiku sidhani ukishukia kiabakari utapata huduma hitajika vizuri. So kama basi linafika usiku nenda nalo hadi Musoma stend kabisa.
Yes, panda gari ya Moro ... Musoma, zinafika usiku sana na hali ya ugeni itakuwia ugumu kufika chuoni.Hapo Morogorogo bus la Nyehunge unaliona.
Kiujumla panda Magari ya Musoma.
Kwa sababu unafika usiku kwanini usifike msoma stendi kabisa ulale kesho yake utafute gari za butiama.
Mara ni nyumbani, saa nane usiku sidhani ukishukia kiabakari utapata huduma hitajika vizuri. So kama basi linafika usiku nenda nalo hadi Musoma stend kabisa.