Msaada: Uume kushindwa kusimama

Nina Tiba ya uhakika @ 300000 kwa awamu 3
 
Hiyo uliyoandika ni vicious circle,siyo visual cirle (samahani kwa kukurekebisha)
 
Fanya mazoezi
 
nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu baada ya kupotezana tukapiga show usiku kucha bao mbili tena ya hovyo baada siku tatu nikaomba mechi kwingine ila nilipiga kwa viwango vya juu sana mpk mwenzangu kaamua kunyanyua mikono
ushauri jaribu kwingineko uone performance yako itakaje
 
Mkuu naomba Sina hamu na tendo la ndoa
 
Hili jukwaa tulitumie vizuri Kuna siku mtu mwingine atakumbana na tatizo kama hili kwahiyo akija kufanya rejea humu basi apate majibu mazuri na sio kejeli kama baadhi ya watu. Let's be positive ndugu zangu, nitoe shukrani kwa wale ambao wameendelea kunisaidia Mungu awabariki sana.
 
Ushauri:

Nenda hospital ukaangalie afya kwanza unaweza kuwa na blood pressure ndio imesabisha hayo yote. Au kuna virutubisho flani vimepungua mwilini, angalia afya kwanza kabla ya kufanya maamuzi mengine.
 
Hospital nimeenda Leo nothing wrong mkuu
Hospital kuna huduma ya kuangalia damu kwa vipimo maalum(blood check up or blood scan) hii daktari huangalia glucose,cholesterol,upungufu na wingi wa blood cell na mengine mengi hii test yake malipo kuanzia 150,000 mpaka 200,000 hii ndio uliofanya?.

Pia angalia mkojo
 
Tafuta demu, nnunua Konyagi ndogo, kula shiba, hasahasa minyama, gonga konyagi yako after 10 to 15 minutes panda juu ya kifua.


Mrejesho ni muhimu
Umenikumbusha

Nilipiga ugali wa kutosha na kuku wa kubanika, nikapakia na maziwa mtindi glass 2, ndizi mbivu 12, parachichi 7, nikaona haitoshi juice ya pineapple glass 3, nikaona bado sijakaa sawa nikaenda kupiga Kilimanjaro 2 (bia) za fasta nikaona bado haitoshi nikapiga maji 1.6 Lita chupa la Dasani nikafuta yote baada ya hapo nikatafuta Samaki na kijiti changu kimoja kikiwa dry, menu imetimia nikaenda kupanda kifuani kilichofuata niliulizwa umekula nini leo?

Tahadhari: usichukie hii formula utasababisha madhara kwenye bandama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…