Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mzee hakuna Cha utapeli nilishaweka Sana Uzi zangu hapa kama anaona uvivu kutafuta hizo nyuzi acha alipie pesa atakuwa na uchungutapeli.
Mzee hakuna Cha tapel hapa ngoja nikuletee Uzi zangu Ili ujue nimewahi kuwa na tatizo hiloUmeanza kuniogopesha tena
Japo nilitumia mfano wa Baki ili kuficha ila nilishaenda Had rufaa mbeya kufanyiwa vipimo Mzee Hali yangu ilikuwa mbaya niliambiwa hata kumpa mtu mimba siwez lakin leo Nina watoto na ni kopi yangu kabisatapeli.
Japo nilitumia mfano wa Baki ili kuficha ila nilishaenda Had rufaa mbeya kufanyiwa vipimo Mzee Hali yangu ilikuwa mbaya niliambiwa hata kumpa mtu mimba siwez lakin leo Nina watoto na ni kopi yangu kabisaAsante kwa ushauri mkuu nakuja inbox
Wakati Mwingine unapaswa kushukuru Mungu pia huenda kuna jambo anakuepusha nalo kwa kukupa viashiria kama hivyo.Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
HAYAMwambie aweke picha kwanza au short video clip ili tujue jinsi ya kumsaidia
Kuna watu wapo kwenye chaputa lakini shoo inagongwa hadi maji yanaombwaMadhara ya CHAPUTA hayo…
tubu kijana mapemaWacha kumuingiza Mungu kwenye uzinzi wako kijana
Mwambie aweke picha kwanza au aweke short video clip tujue unamsaidiaje ili aweze kusimamisha mkuuyegeWanaume wa siku hizi wamekuwa waloziwalozi sana,ukute amewekewa tego na mume mwenzio....pole Kwa changamoto
Huyo mwanamke, achana nae maana kupitia ngono ni rahisi sana kujibebea laana au roho ya uharibifu so, mtu anaweza kukuchukulia nyota yako kiurahisi kupitia ngono, nenda kafanyiwe maombi rfkHabarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Akaondoke na nguvu zako za kiume unatakaFanya mazoez asubuhi na jion kula vzr pumzika kwa wakat thanks mi later
Wakat ukiwa Katika izo harakatz za kujirejesha mchezon nipe namba ya uyo Dada nikusaidie kaz ndogo ndogo mpaka pale utakapo kuwa sawa
''japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu''
Usilitaje bure jina la Mungu mkuu, yaani Mungu akupe uwezo kwenye uzinzi kweli!? Labda ndiyo maana haisimami tena
Oa kwanza ili usaidiwe,sio usaidiwe halafu ukafanye zinaa...
Duh, mkuu inafanyeje kazi hii? Mlango wa nje ya nyumba au Getini?Amka asubuhi na mapema kabla jua kutoka..chukua maji tia kwenye chombo isiwe plastic,glass au jamii ya sufuria....tumia chombo cha udongo i.e.kikombe au chungu au kibuyu..simama kwenye mlango wa nje...piga Funda moja...halafu mengine jimwagie angalau ulowe..kaa nje kwenye upepo mpaka maji yakaukie mwilini.
N.B.
zoezi hili unalifanya kabla hujaenda haja.
Rudi tupe mrejesho
Labda ni huyuChululu dah [emoji38]umenikumbusha manzi yangu moja alikua anaita dushe chululu ...utasikia nakuja nimeimiss chululu