Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
Utapigwa jombaa. Kuna aina ya wanawake ukikutana nae unalegea. Uyo wako anaweza kuwa wa aina iyo. Tafuta mechi ya kirafiki ujifanyie analysis.Asante kwa ushauri mkuu nakuja inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapigwa jombaa. Kuna aina ya wanawake ukikutana nae unalegea. Uyo wako anaweza kuwa wa aina iyo. Tafuta mechi ya kirafiki ujifanyie analysis.Asante kwa ushauri mkuu nakuja inbox
Haya msaidie mwenzio sasaHili ndio jibu. Iliwahi kunitokea. Niliangaika nikachomoka
Nakuja Pm mkuuPole dear una umri Gani...
Nije nione,tujaribu?
No jokes.....upone mapema
Jamaa alijua mali safi imejileta 😂😂😂Uache utoto hii ni jf sio fb[emoji23][emoji23], Kuna watu wapo serious sana na maisha[emoji23]
Nilicheka hii sana
kumbe una roho nzuri ivi dadaakePole dear una umri Gani...
Nije nione,tujaribu?
No jokes.....upone mapema
Ulikua ushajaa kwenye 18 zake[emoji23], kumbe una utoto wa fb[emoji23]Jamaa alijua mali safi imejileta [emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto raha, unayapeleka majitu mazima yanakua km mabolizozo 🤣🤣Ulikua ushajaa kwenye 18 zake[emoji23], kumbe una utoto wa fb[emoji23]
Utani wako utakuja kupigwa[emoji23][emoji23]Utoto raha, unayapeleka majitu mazima yanakua km mabolizozo [emoji1787][emoji1787]
Utani wako utakuja kupigwa[emoji23][emoji23]
Nataka utamuKwanini na wewe unataka tuje tujaribu?
ndo solution huyo hana shida ila kisaikolojia hayuko OK hata mie inanipataga hiyo ishu mara kwa mara kutokana na depression niliyopata ikaleta iyo shida ila nafanya mazoez nakula ok nalala on time na nikimkamata mamaaa anasema hilo.moja km unataka kushinda olympicBasi kimbilia kwenye viagra hapo!
tapeli mkubwa k******ma weMzee kama upo serious njoo nikupe dawa gharama yake ni 50000 tu Kwa sababu hiyo pesa ntatumia kununua vifaa vya tiba yaani asali wa nyuki wadogo na vitu vingine
Tiba yangu ni asilia kabisa (nimewahi kuwa muhanga wa punyeto lakin Leo nipo fit balaaa)
Dawa yangu itakutibu kuongeza nguvu za kiume
Kuongeza kiwango Cha shahawa
Kuongeza ukubwa wa umee (hii zoez litachukua miez 6 au Zaid kulingana na unavyofanya mazoez Kwa usahihi )
Dawa itatibu tatizo la shahawa kuwa legevu na kuongeza ubora wa dawa
Tiba yangu ni uhakika hata akina mama wasio na uwezo wa kushika mimba au wenye kukosa hamu ya mapenzi
Shukuru Mungu unaepuka mengiHabarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.