Msaada: Uume kushindwa kusimama

Msaada: Uume kushindwa kusimama

Wakati mwingine,tunagomea nafsi zetu zinapotukataza vitu,sisi tunalazimisha. Wasiwasi wako,huenda huyo mdada keshaathirika. Na hutaki kupima. Lakini,hiyo hofu si bure. Kama wewe unaogopa,panga njama akapime,utaona kwa nini
 
Basi kimbilia kwenye viagra hapo!
ndo solution huyo hana shida ila kisaikolojia hayuko OK hata mie inanipataga hiyo ishu mara kwa mara kutokana na depression niliyopata ikaleta iyo shida ila nafanya mazoez nakula ok nalala on time na nikimkamata mamaaa anasema hilo.moja km unataka kushinda olympic
 
Mzee kama upo serious njoo nikupe dawa gharama yake ni 50000 tu Kwa sababu hiyo pesa ntatumia kununua vifaa vya tiba yaani asali wa nyuki wadogo na vitu vingine

Tiba yangu ni asilia kabisa (nimewahi kuwa muhanga wa punyeto lakin Leo nipo fit balaaa)

Dawa yangu itakutibu kuongeza nguvu za kiume
Kuongeza kiwango Cha shahawa
Kuongeza ukubwa wa umee (hii zoez litachukua miez 6 au Zaid kulingana na unavyofanya mazoez Kwa usahihi )
Dawa itatibu tatizo la shahawa kuwa legevu na kuongeza ubora wa dawa

Tiba yangu ni uhakika hata akina mama wasio na uwezo wa kushika mimba au wenye kukosa hamu ya mapenzi
tapeli mkubwa k******ma we
 
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Shukuru Mungu unaepuka mengi
 
Back
Top Bottom