Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Punguzeni kunywa soda...kunywa maji...fanya mazoezi......acha kula ovyo...kula vyakula vinavyostahili....mkuu acha soda kabisa....
Kwamba soda inafanyeje?
Na unavyosema vyakuka vinavyofaa ni vipi hivyo na visivyofaa ni vipi???
 
Inaonekana uko stressed, toa mawazo ya kulala uume kama unampenda mkeo utasimama na kufanya kawaida. Kikubwa toa wasi wasi wako. Wewe na mkeo wote mtulie, kama unadaiwa au huna hela toa hayo mawazo.
Mkuu unajua deni hasa kama la kudaiwa ada?
 
Mkuu uliyasema ni kweli kabisa ukiishi na mwanamke zaidi ya 4 years hata kufanya mapenzi kunapungua sana,kwenda bao 2 tu ni kwa nadra sana mara nyingi ni bao moja habari imeisha.Nakumbuka mie kabla hatujaoana asee nilikuwa napeleka moto hadi bao 5 hadi 4 hamu ipo juu siku hizi kwenda 2 ni mtihani nikaja kugundua tatizo ni kumzoea mtu
 
Njia pekee ya kupima kama unatatizo au huna namshauri huyo jamaa achepuke aangalie
 
Nimejifunza kitu hapa ...barikiwa mkuu
 
Kuna tatizo lolote lililoathiri saikologia yako siku za nyuma hapo?
Hii Hali ilishanitokea kwa muda wa mwezi na nusu Lakini nilikuwa na changamoto flani nikawa stressed
Hebu jichunguze kwenye Hilo kwanza then Utoe mrejesho

Lingine kama wewe umemdanganya mdada wa watu kuwa utamuoa
Alafu ulivyokula tu ukaridhika then ukakimbia ujue amekushughulikia
Cheki na Hilo pia

Nitakuelekeza Cha kufanya ila uache kutongoza kwa kutoa ahadi zisizotekelezeka
 
Ilinitokea Mimi pia.kuna wakati wife alizingua nikamlamba vibao ugomvi ukawa mkubwa kiasi Cha kumrudisha kwa wazazi wake kwa muda was kiezi mitano Kisha akarudi, alivyorudi tendo lilikuwa linafanyika fresh ila siku zilivyokuwa zinaenda Mara hamu ikawa hakuna, akawa hanivutii,. Siku yenyewe Sasa ya mwanzo ya tatizo ile namuomba mzigo akakataa nikabembekeza akakataa kabisa nikaona huyu hataki kweli ok nikamwacha, zikaoita dakika Kama 20 akaniita njoo, Sasa kwa sababu Mimi hisia zishahama tayari nikashindwa kusimami a vema yaani ikawa Kama mtoa mada,wife na yeye alivyo bwege akaanza masimango hapo hapo, Mara unanichafua tu, Mara ushakojoa dakika moja, Mara unatetemeka, Mara huna nguvu za kiume, Mara usinisumbue tena.aisee kuanzia hapo bonge la hofu lilinivaa sijawahi kuona, nilipoteza hamu nae kabisa.zikapita wiki mbili nikaomba Hali ikawa higo hiyo nikaamua kuchepuka ajabu nikalamba mtu mabao manne na yote nikimtoshekeza na yeye. hapo nikanotice huyu wife ndo jipu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hapo iliendeleaje kwa wife
 
Mawazo hasa nnayo yakulala uume maana tunapokua ktk maandalizi uume unasimama Ila sio strong kabisa yaan ikifika hatuna kuanza tendo Ile napeleka uume ukeni kabla haujafika kugusa uke Basi uume unalala
unamchepukoo??[emoji848][emoji848]
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Inawezekana kabla ya kuoa, mkeo alikuwa Geisha
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Tendo la mapenzi ni process ndefu ambayo inahisisha ubongo na fahamu zote kwa asilimia 90.
Hata kama wewe ni mpenzi wa kuku ikitokea ukaona kuku anakula kinyesi halafu muda mfupi kuku huyo akakamatwa kuchinjwa hutaweza kula nyama hiyo kwa kuwa ubongo utakupa tafsiri hasi.

Shida yako ni ukosefu wa utulivu kutokana na vitu kadhaa ambavyo ubongo wako umekariri.
Vitu hivyo vyaweza kuwa madeni,maisha,kudharauliwa,hisia,kazi ngumu,matendo fulani hasi ya mkeo nk.
Ubongo ukitoa majibu yasiyoeleweka hata ukilazimisha hutafanikiwa.
Tafuta utulivu na mkeo muandae jaribu kuhamisha akili yako iwe mahali ulipo wewe maana waweza kuwa kifuani kwa mkeo huku akili yako ikiwa mbali huwezi kutoboa.
Kapime pressure pia na sukari.
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Badilosha uke
 
Nenda hospital kwanza kaka ujue afya yako then ukipata majibu ya daktari utajua uanzie wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…