Ilinitokea Mimi pia.kuna wakati wife alizingua nikamlamba vibao ugomvi ukawa mkubwa kiasi Cha kumrudisha kwa wazazi wake kwa muda was kiezi mitano Kisha akarudi, alivyorudi tendo lilikuwa linafanyika fresh ila siku zilivyokuwa zinaenda Mara hamu ikawa hakuna, akawa hanivutii,. Siku yenyewe Sasa ya mwanzo ya tatizo ile namuomba mzigo akakataa nikabembekeza akakataa kabisa nikaona huyu hataki kweli ok nikamwacha, zikaoita dakika Kama 20 akaniita njoo, Sasa kwa sababu Mimi hisia zishahama tayari nikashindwa kusimami a vema yaani ikawa Kama mtoa mada,wife na yeye alivyo bwege akaanza masimango hapo hapo, Mara unanichafua tu, Mara ushakojoa dakika moja, Mara unatetemeka, Mara huna nguvu za kiume, Mara usinisumbue tena.aisee kuanzia hapo bonge la hofu lilinivaa sijawahi kuona, nilipoteza hamu nae kabisa.zikapita wiki mbili nikaomba Hali ikawa higo hiyo nikaamua kuchepuka ajabu nikalamba mtu mabao manne na yote nikimtoshekeza na yeye. hapo nikanotice huyu wife ndo jipu.
Sent from my Infinix X5515 using
JamiiForums mobile app