Msaada: Vits new model kukosa nguvu

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:-

πŸ‘‰ Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima

πŸ‘‰ ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka kuzima

πŸ‘‰ Kina toa mlio kama wa miss!!

Tumebadili plug, tumebadili pump, tatizo limepungua ila bado lipo!!

Tatizo lilianza baada ya kutoka sheli moja hiv sito itaja kwa sasa!!

Nifanyeje kusolve hii ishu?
 
labda mafuta uliyoweka yalikuwa na maji... jaribu kufungua tank uweke mafuta mapya yale ya zaman yatoe
 
Ya mwaka gani?


Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…