Msaada: Vits new model kukosa nguvu

Msaada: Vits new model kukosa nguvu

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:-

👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima

👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka kuzima

👉 Kina toa mlio kama wa miss!!

Tumebadili plug, tumebadili pump, tatizo limepungua ila bado lipo!!

Tatizo lilianza baada ya kutoka sheli moja hiv sito itaja kwa sasa!!

Nifanyeje kusolve hii ishu?
 
labda mafuta uliyoweka yalikuwa na maji... jaribu kufungua tank uweke mafuta mapya yale ya zaman yatoe
 
Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:-

[emoji117] Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima

[emoji117] ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka kuzima

[emoji117] Kina toa mlio kama wa miss!!

Tumebadili plug, tumebadili pump, tatizo limepungua ila bado lipo!!

Tatizo lilianza baada ya kutoka sheli moja hiv sito itaja kwa sasa!!

Nifanyeje kusolve hii ishu?
Ya mwaka gani?

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom