Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

Chanzo, utaoaji wa mimba...
Madhara, bleed isiyokua na kikomo...
 
Pole sana ila inaweza kuwa ni Incomplete Abortion mayb ulitoa ujauzito ukiwa na miezi zaidi ya 2 kwa kutumia misoprostol so itabidi aende akasishwee hasa kama anatoa damu yenye harufu na nzitoo.. Lakini je alitumia Antibiotics baada ya kutoa?

Lakini pia anaweza tumia Trexamin au Sylate tab 500mg tds kwa siku tano then tuone kama damu itakata.. Isipokata bhasi aende Hospital.

Poleni ila siku nyingne msitoe
 
Pole sana ila inaweza kuwa ni Incomplete Abortion may b ulitoa ujauzito ukiwa na miezi zaidi ya 2 kwa kutumia misoprostol so itabidi aende akasishwee hasa kama anatoa damu yenye harufu na nzitoo...
Madaktari wa JF... Mtu ana Incomplete 2° to sepsis unapambana naye kwa maandishi... Aende hospital
 
Madaktari wa JF... Mtu ana Incomplete 2° to sepsis unapambana naye kwa maandishi... Aende hospital
Sepsis 2' induced incomplete septic abortion
And that bleeding could be caused by 4t
Tea (perforations )
Tussue retation products of concept
Tone uterine involution
Thrombi caused by sepsis

Hyo ni hatar mgonjwa anahitaji msaada wa kitabibu
 
Kwahiyo kaua?
Hiyo dhambi na ikae juu yake mwenyewe.
Dah watu wanaroho ngumu sana. Mtu anaua mtoto asiye na hatia?
 
Incomplete abortion,kabla hujafanya kitu ni bora utafte kukielewa vizuri,kama mliamua kufanya hivyo ilitakiwa akasafishwe,wahi hospitali akasafishwe la sivyo mnahatarisha hicho kizazi
Anayeua nae auawe. Yale maandiko ya agano la kale tungeyatumia leo
 
HABARI WANA JF,

Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇

1.Nini Chanzo.

2.Madhara

3.Matibabu.🙏🙏🙏
Mngempa Transamenic Acid 500mg na dawa ya kuongeza damu

Pia hospitali aende akasafishe

Poleni
 
Kwahiyo kaua?
Hiyo dhambi na ikae juu yake mwenyewe.
Dah watu wanaroho ngumu sana. Mtu anaua mtoto asiye na hatia?
Hayajakukuta… tena unyamaze tu.

Kuna zile mimba za kupandiana, huko hosp tu unashauriwa utoe ‘ baadhi.
Sasa sijui kwa Mungu dhambi inakuwa ni ile ile..
 
Hayajakukuta… tena unyamaze tu.

Kuna zile mimba za kupandiana, huko hosp tu unashauriwa utoe ‘ baadhi.
Sasa sijui kwa Mungu dhambi inakuwa ni ile ile..
Pia akumbuke hakuna mkamilifu huenda yeye akawa anafanya makosa makubwa kuliko hili.
 
Back
Top Bottom