Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Maza house wangu mmoja 2020 ilimlazimu kumtoa binti yake wa f3….Pia akumbuke hakuna mkamilifu huenda yeye akawa anafanya makosa makubwa kuliko hili.
2022 now Na amefaulu, yuko kusubiria post aende f5.
Haya maisha yana visanga sana, tukaage tu kwa kutulia.