Maza house wangu mmoja 2020 ilimlazimu kumtoa binti yake wa f3….Pia akumbuke hakuna mkamilifu huenda yeye akawa anafanya makosa makubwa kuliko hili.
HABARI WANA JF,
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.🙏🙏🙏
Sepsis 2' induced incomplete septic abortion
And that bleeding could be caused by 4t
Tea (perforations )
Tussue retation products of concept
Tone uterine involution
Thrombi caused by sepsis
Hyo ni hatar mgonjwa anahitaji msaada wa kitabibu
Hongereni na poleKila kitu kipo sawa ni ushauri 2 alikua anajaribu kunipa 🙏🙏🙏
nikweli hayajanikuta ila hamna jambo zito sana kwangu kama kushiriki hiyo dhambi ya kuua kiumbe.Hayajakukuta… tena unyamaze tu.
Kuna zile mimba za kupandiana, huko hosp tu unashauriwa utoe ‘ baadhi.
Sasa sijui kwa Mungu dhambi inakuwa ni ile ile..
nikweli hayajanikuta ila hamna jambo zito sana kwangu kama kushiriki hiyo dhambi ya kuua kiumbe.
Aliyesema isiue ndo huyohuyo aliyesema kuua ni dhambi.
Alotoa mimba kwangu hana tofauti na aliyeua kwa upanga
Ila tatizo ni kwamba kila mara ananipigia simu anataka nimtibu na nikikataa analalamika sana kiasi ambacho huruma inaniingia nikimwambia mtafute mtu mwingine anadai hajaona ambae anaweza mpa mwili wake
Ndo atulie na usafishaji wakeWewe mbona umefanya uasherati sana na hakuna anayekukomalia na makelele...
Post in thread 'Ananitaka mimi tuu' Ananitaka mimi tuu
Hayo ni maelezo ya ujumla. Ndo maana nimeweka broad pdx ningekuwa nimemwona na kumpima dx isingekuwa ndefu hivyo ndo maana nikaweka na possible causes za hyo bleeding ningemwona obviously cause ingekuwa moja tu au sio obstetricianHayo maelezo ni based on what!? Umemwona? Umempima?
Hayo ni maelezo ya ujumla. Ndo maana nimeweka broad pdx ningekuwa nimemwona na kumpima dx isingekuwa ndefu hivyo ndo maana nikaweka na possible causes za hyo bleeding ningemwona obviously cause ingekuwa moja tu au sio obstetrician
Ma gynecological mna raha sana miaka yote mnasoma kiuono tu
so funy