Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Habarini wadau na wapambanaji wenzangu.

Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto.

Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka.

Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda.

Je, niwape chakula gani ili wakuwe wote kwa haraka.
 
Tengeneza urafiki mkubwa na madaktar wa mifugo ili wawe wanakupatia consultantion za hapa na pale. Ili uweze kupata uelewa upande wa science ya ufugaj nguruwe. Nguruwe wako ni wa aina gan na wanasifa zipi?
Nguruwe hanaga chanjo, chakula kinatakiwa kiwe na mchanganyiko mzr wa virutubisho!.
 
Nguruwe ni wako aina gan local ,hybrid au pure breeds? Formula za chakula ni nyingi kutokana na requiremnet na status za mnyama. Kwa ushauri zaidi juu ya ufugaji wa nguruwe nicheki 0624227458 bila gharama yeyeto by dr siraji
 
Ingependeza ungetupa formulae za chakula kulingana na umri wao i mean wadogo na wakubwa Kwa wanyama Kama utojali ilitufaidike wotee umu.
 
Hivi mkuu ; umesema hayo madume unataka uyahasi? halafu majike hayo yakizaa? Hebu fafanua kidogo kuhusu hiyo backup.
 
Vipi ulishapata msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…