Sumu Boy
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 206
- 217
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa naomba anipe madini.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa naomba anipe madini.