Pia miongoni mwa tiba rahisi ambazo unaweza kuzipata mazingira ya nyumbani ni :
i) Manjano - Unatumia unga wake kijiko kimoja cha chai mara mbili kwa siku kwenye chai au maji ya vuguvugu.
Ukiweza kupata pilipili manga ni bora zaidi unanyunyizia kidogo sana (0.4g), inasaidia manjano kuweza kufyonzwa na mwili kwa ufanisi zaidi.
N.B : Kama unatumia dawa nyingine yoyote ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla ya kutumia na (i) hapo juu.
ii) Kabichi - Unaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.
Kama ni tatizo ni kubwa sana unaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.
(i) na (ii) ni tiba nzuri Kwa vidonda vya tumbo, gerd na vilevile gastritis.
Nakutakia matibabu mema.