Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

Chukua maganda ya viazi mviringo vile vya chipsi ,chemsha uwe unakunywa maji yake kwa siku glass mbili ,Fanya hivyo kwa wiki mbili

Usipopona njoo jf unikosoe

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nijaribu hii mkuu nione kama hawa H. Pylori wanaweza kufa kweli. Nashukuru sana.
 
Tupo wengi tunateswa na hii H pylori, nipo wiki ya 2 sasa nameza madawa daah!nimekata tamaa kabisa.Ukizingatia nazingatia usafi na kila kitu kuhusu chakula,sielewi kwanini inajirudia hii kitu?
 
Jaribu hiyo ya juice ya maganda ya viazi kisha ulete mrejesho hapa mkuu.
 
Ngoja nijaribu hii mkuu nione kama hawa H. Pylori wanaweza kufa kweli. Nashukuru sana.
Habari kaka, pole sana na nakutakia matibabu mema.

Kama tatizo likiendelea kusumbua tunaweza kuwasiliana, mimi nafahamu dawa za mimea, ukipenda naweza kukuandalia.

Utalipia tu 10,000Tshs kwa kuwa nitatumia muda na fedha kukuandalia dawa hiyo.

Aghalabu hiyo dawa utakayolipia 10,000Tshs huwa inatosheleza kwa matibabu mpaka kupona, mara chache kuhitajika dozi ya pili isipokuwa kwa tatizo lenye athari za muda mrefu.

Nakutakia afya njema.
 
Ngoja nijaribu hii mkuu nione kama hawa H. Pylori wanaweza kufa kweli. Nashukuru sana.
Pia miongoni mwa tiba rahisi ambazo unaweza kuzipata mazingira ya nyumbani ni :

i) Manjano - Unatumia unga wake kijiko kimoja cha chai mara mbili kwa siku kwenye chai au maji ya vuguvugu.

Ukiweza kupata pilipili manga ni bora zaidi unanyunyizia kidogo sana (0.4g), inasaidia manjano kuweza kufyonzwa na mwili kwa ufanisi zaidi.

N.B : Kama unatumia dawa nyingine yoyote ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla ya kutumia na (i) hapo juu.

ii) Kabichi - Unaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.
Kama ni tatizo ni kubwa sana unaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.

(i) na (ii) ni tiba nzuri Kwa vidonda vya tumbo, gerd na vilevile gastritis.

Nakutakia matibabu mema.
 
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.

Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa naomba anipe madini.
Ooh ni sehem ndogo tu ambapo weng hukosea hata Mimi nilikosea lakini baada ya kupatiwa kinagaubaga ilikuwa easy tu kupima 0695271166
 
Pia miongoni mwa tiba rahisi ambazo unaweza kuzipata mazingira ya nyumbani ni :

i) Manjano - Unatumia unga wake kijiko kimoja cha chai mara mbili kwa siku kwenye chai au maji ya vuguvugu.

Ukiweza kupata pilipili manga ni bora zaidi unanyunyizia kidogo sana (0.4g), inasaidia manjano kuweza kufyonzwa na mwili kwa ufanisi zaidi.

N.B : Kama unatumia dawa nyingine yoyote ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla ya kutumia na (i) hapo juu.

ii) Kabichi - Unaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.
Kama ni tatizo ni kubwa sana unaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.

(i) na (ii) ni tiba nzuri Kwa vidonda vya tumbo, gerd na vilevile gastritis.

Nakutakia matibabu mema.
Asante sana kwa ushauri huu mujarabu mkuu
 
Back
Top Bottom