Hivi yale ma capsule hayasababishi tumbo kuunguruma?Tumia omoprazole miezi 3, nusu saa before ya kula au baada ya kula. Kula kwa wakati epuka kula vyakula vyenye acid na fanya mazoezi. Unapopata muda kula sana kabichi ya kuchemsha plus bamia au juice yake.
Siyo daktari ila ni ushauri tu niliozingatia kutoka kwa doktar mmoja ivi nje ya tiba. Maana mie nilikuwa natembea kama nmebeba kitu chini ya titi upande wa kushoto na muda mwingine nakoswa pumzi kabsa haswaa nikilala. Namshukuru Mungu naendelea vzr
Hizo prazole nmetumia aina nyingi sana tena za gharama tu ila nmekuja pata nafuu kwenye omoprazo za buku pakti
Shukrani mkuu ngoja nijaribu hiiTumia omoprazole miezi 3, nusu saa before ya kula au baada ya kula. Kula kwa wakati epuka kula vyakula vyenye acid na fanya mazoezi. Unapopata muda kula sana kabichi ya kuchemsha plus bamia au juice yake.
Siyo daktari ila ni ushauri tu niliozingatia kutoka kwa doktar mmoja ivi nje ya tiba. Maana mie nilikuwa natembea kama nmebeba kitu chini ya titi upande wa kushoto na muda mwingine nakoswa pumzi kabsa haswaa nikilala. Namshukuru Mungu naendelea vzr
Hizo prazole nmetumia aina nyingi sana tena za gharama tu ila nmekuja pata nafuu kwenye omoprazo za buku pakti
Best,Shukrani mkuu ngoja nijaribu hii
Asante ngoja nizingatie hayo maana hali ya kukata tamaa ilishaanza niingia nikaanza kufikiria kwenda kunywa fiterawa ya RahabBest,
Jifunze tu kuishi nao.
Jitahidi sana kufanya endoscopy mara kwa mara ku-monitor maendeleo ya vidonda kuepukana na cancer.
Usipende sana kula madawa ya kienyeji, usiathiri Figo na ini lako.
Zingatia masharti ya ulaji, na kupungiza mawazo.
kweli kuna mtu imemsaidia kama uko Dar nenda MUHAS kaulizeKweli hiyo???
Mimi ni muhanga wa Muda, hvyo nakuelewa sana.Asante ngoja nizingatie hayo maana hali ya kukata tamaa ilishaanza niingia nikaanza kufikiria kwenda kunywa fiterawa ya Rahab
Dah!Mimi ni muhanga wa Muda, hvyo nakuelewa sana.
Tafuta pantoprazole ni nzuri sana.
*Usile kiporo.
*Usikae na njaa.
*Usile karanga au vyakula vilivyokaangwa.
*Jitahidi kuepuka nyama.
*Fanya sana mazoezi baada ya kula.
*Usipendelee Pombe.
*Epuka mawazo.
*Kula sana mboga na matunda.
*Penda sana kula kidogo kidogo mara nyingi, usipende kula hadi kujaza tumbo.
*Jitahd kula mwisho saa 12 jioni.
Hapo kwenye nyama na vitu vya kukaanga ndo napenda ngoja nizingatie om ulivyosema mkuu asante kwa msaada wakoMimi ni muhanga wa Muda, hvyo nakuelewa sana.
Tafuta pantoprazole ni nzuri sana.
*Usile kiporo.
*Usikae na njaa.
*Usile karanga au vyakula vilivyokaangwa.
*Jitahidi kuepuka nyama.
*Fanya sana mazoezi baada ya kula.
*Usipendelee Pombe.
*Epuka mawazo.
*Kula sana mboga na matunda.
*Penda sana kula kidogo kidogo mara nyingi, usipende kula hadi kujaza tumbo.
*Jitahd kula mwisho saa 12 jioni.
Pole Mkuu kwa hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo kwa dawa za hospitali hutoweza kupona unaweza kupona kwa dawa za asili. Ukihitaji tiba za dawa za asili nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa naomba anipe madini.
Nipigie namba 0764820952 tatizo lako dogo niaminiKwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa naomba anipe madini.