Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
240
Reaction score
599
Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni.

Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi miaka yote 12 tuliyokaa naye.
 
Mkongo au visk sio dawa ya kumridhisha dem au kumkomesha lkn umesema unataka dawa tungoje waliotuzid ujuz wanaweza kukusaidia
 
Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni.
Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi miaka yote 12 tuliyokaa naye.
Bro nimegundua ww hutaki dawa unataka huyo demu akwambie leo umeniridhisha usisumbue watu akili miaaka 12 bado unasema unatafuta dawa ya kumridhisha kuna kitambaa cheupe mbele kama sio sut
 
Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni.
Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi miaka yote 12 tuliyokaa naye.
Baada ya Miaka 12 ndo anaanza kuchepuka! Kazi unayo.
 
Back
Top Bottom