Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni.

Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi miaka yote 12 tuliyokaa naye.
Kazi ndogo ivo inakushinda,je ukipewa kuongoza nchi
 
Back
Top Bottom