Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Wanawake wa kanda hyo huwa na viburi jamani...wengi ni Wasimbe...sijataja kabila msininipopoe ila chunguzeni
 
Pole sana dogo kwanza huyo mwanamke hana malengo na pili ww ulishamzembea toka mwanzo ulipoanza mahusiano naye mwanamke sio wa kutoa lugha chafu kwa mumewe sikushauri uwe mkatili au ulete ubabe ila vaa uanaume wako kua na kauli zenye mamlaka juu yake. Kuhusu mali kugawana hapo sina uzoefu napo ila tunawashauri kila siku tatizo hamjagi kwenye vikao vya wanaume, kaa na mwanamke kwa akili anzisha miradi yako kabla yy kuja maishani mwako na uwe na mambo yako ya siri ambayo warithi watakua ni wanao sio mkeo ona sasa anakutingisha akijua kabisa mkiachana anaolewa na mtu mwingine na ww unaanza upya kutafta mali kashakukwamisha mpka hapo kwa ujinga wako wa kujidai unajua mahaba kumbe zumbukuku
 
Hapo itafahamika nani mwanaume
 
Eti ukampiga vibao.....mwanamke anapigwa tena kipigo cha mbwa koko....ili kama ni talaka aombe kihalali.
Tatizo mnazoeana sana kiasi cha kushindwa kujua mke ni nani na mume ni nani.
Be a monster man.
 
Hata sijui mkuu..mie mwenyewe mwaka huu nmedhamiria kupunguza/kuacha kua na mdomo asee.
 
Huyo hakupendi hata nukta mwache aende anapopataka na usimfuatilie , mwenyewe atakuja kiulaini japo nakukumbusha HAKUPENDI HATA KIDOGO anaishi na wewe kwa kuwa aliolewa kwako bila hivyo hakuhitaji

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
We mpe anachotaka asepe utatafuta vingine, hiv mnahangaikaga nini na hawa wanawake? Si mna mtoto? Bas mpe anachotaka sepa kwanza kwa chanzo cha malumbano yenu (50,000) inaonekana sio mna utajiri wa hiivyo kwamba ukiupoteza utashindwa kuanza upya, we mpe asepe pambana tafuta na utapata na uoe pis ya kwenda uishi achana na stress

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Enhe mbona anafanya mambo kimwendokasi ivo[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Pole sana kwa kupata “rosi” …
Mtafute deeppond akupe ushauri juu ni nini cha kufanya mke wako akisema muachane kisha mgawane mali.
 
Wenzako ukisha mtandika makofi kama hivyo kukikaribia kukucha unaanza kumbembeleza ili yaishe,sio tena unaongezea ubabe...
Afu unaomba cha asubuhi ugomvi unaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…