Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Wanawake wa kanda hyo huwa na viburi jamani...wengi ni Wasimbe...sijataja kabila msininipopoe ila chunguzeni
 
Pole sana dogo kwanza huyo mwanamke hana malengo na pili ww ulishamzembea toka mwanzo ulipoanza mahusiano naye mwanamke sio wa kutoa lugha chafu kwa mumewe sikushauri uwe mkatili au ulete ubabe ila vaa uanaume wako kua na kauli zenye mamlaka juu yake. Kuhusu mali kugawana hapo sina uzoefu napo ila tunawashauri kila siku tatizo hamjagi kwenye vikao vya wanaume, kaa na mwanamke kwa akili anzisha miradi yako kabla yy kuja maishani mwako na uwe na mambo yako ya siri ambayo warithi watakua ni wanao sio mkeo ona sasa anakutingisha akijua kabisa mkiachana anaolewa na mtu mwingine na ww unaanza upya kutafta mali kashakukwamisha mpka hapo kwa ujinga wako wa kujidai unajua mahaba kumbe zumbukuku
 
Wakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.

Naenda kuelezea...

Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.

Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.

Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.

Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.

Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.

Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.

Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.

Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.

Nisiwachoshe.

Exalioth yuda
jf_geita
Hapo itafahamika nani mwanaume
 
Eti ukampiga vibao.....mwanamke anapigwa tena kipigo cha mbwa koko....ili kama ni talaka aombe kihalali.
Tatizo mnazoeana sana kiasi cha kushindwa kujua mke ni nani na mume ni nani.
Be a monster man.
 
Hivi kwanini wanawake..
1. Huwa na midomo michafu
2. Huwa na midomo ya "WANAONGEA balaa"
3. Yaani ni kupepeta tu midomo.

Hivi Mungu alivyoumba "Mwanamke" alimuwekea nini mdomoni?

Beesmom To yeye amadala Lovelovie

Na wanawake wengine wotee JF

KWANINI WANAWAKE WANA MIDOMO SANAA?

#YNWA
Hata sijui mkuu..mie mwenyewe mwaka huu nmedhamiria kupunguza/kuacha kua na mdomo asee.
 
Huyo hakupendi hata nukta mwache aende anapopataka na usimfuatilie , mwenyewe atakuja kiulaini japo nakukumbusha HAKUPENDI HATA KIDOGO anaishi na wewe kwa kuwa aliolewa kwako bila hivyo hakuhitaji

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
We mpe anachotaka asepe utatafuta vingine, hiv mnahangaikaga nini na hawa wanawake? Si mna mtoto? Bas mpe anachotaka sepa kwanza kwa chanzo cha malumbano yenu (50,000) inaonekana sio mna utajiri wa hiivyo kwamba ukiupoteza utashindwa kuanza upya, we mpe asepe pambana tafuta na utapata na uoe pis ya kwenda uishi achana na stress

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Enhe mbona anafanya mambo kimwendokasi ivo[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Pole sana kwa kupata “rosi” …
Mtafute deeppond akupe ushauri juu ni nini cha kufanya mke wako akisema muachane kisha mgawane mali.
 
Back
Top Bottom