DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Tayar mkuu, nenda kaupitieMkuu tayar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayar mkuu, nenda kaupitieMkuu tayar?
Wasimbe ndo Watu wa mkoa gani[emoji848]Wanawake wa kanda hyo huwa na viburi jamani...wengi ni Wasimbe...sijataja kabila msininipopoe ila chunguzeni
Hapo itafahamika nani mwanaumeWakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.
Naenda kuelezea...
Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.
Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.
Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.
Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.
Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.
Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.
Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.
Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.
Nisiwachoshe.
Exalioth yuda
jf_geita
😆 😆 wanawake walioachikaWasimbe ndo Watu wa mkoa gani[emoji848]
Eti ukampiga vibao.....mwanamke anapigwa tena kipigo cha mbwa koko....ili kama ni talaka aombe kihalali.Wakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.
Naenda kuelezea...
Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu anaenda kufatilia nimpe talaka tuachane.
Kisa cha ugomvi ni kutoka kwenye biashara yetu tulipata rosi tukiwa wote kibandani tulipata wateja wa vifaa vya shule tukawauzia katka kuwafungia mzigo wife akawazidishia vyenye samani ya sh.50000/=.
Kwakua sikuwakalili vizuri rakn shule wanayosomea hao wateja naijua na vifaa kama mabegi ya mgongoni ikabidi jana j3 asubuhi nijaribu bahati yangu niende shule kufatilia rakn sikufanikiwa nikarudi nyumbani.
Badae Jioni saa kumi sikuepo kibandani nikapigiwa simu na mkewangu ananiambia wale watu tuliowazidishia mzgo amewaona na ameongea nao wamesema watarudisha ikabidi niende haraka kazini.
Nafika namuuliza wanasomea shule gani na wamekupa majina yao na wanaishi maeneo gani, Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu , jibu nililojibiwa naambiwa ooh ningejua nisinge kuambia maana maswali yamekua mengi.
Akasema ameshawakalili nikamwambia wasipoleta atafatilia kwakua yeye ameshawakalili akasema hawezi hata kwa dawa, nkamwambia wife hii hela tunayotafuta sio kwa manufaa yangu binafsi kwanini unashindwa kunielewa Kanuna kaenda nyumbani.
Nmefka nyumbani hajapika saa3 watoto wamelala njaa aseee nilipiga vibao nikamlazimisha kupika Tukala hakula yeye akasema lazma hii kesi tuachane et tugawane kila kitu kumekucha asubuhi ananiomba nauri aende kwetu et akawaeleze ili afatilie swala la talaka tugawane mali.
Nimemwambia sikupi nauli kuchezea hela kwamaana sioni kosa la kuachana we kaa tulia haelewi, Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana, shemeji yenu nimezaa nae watoto wawili miaka 3_5.
Nisiwachoshe.
Exalioth yuda
jf_geita
Ampe tu alafu ampige marufuku kumuona pale. Muda mwingine wanawake wanapima kina cha maji,yaani kupigwa tu kibao anaomba talaka na wagawane Mali?USIMPE NAULI .
huyo anatulia.
Hata sijui mkuu..mie mwenyewe mwaka huu nmedhamiria kupunguza/kuacha kua na mdomo asee.
Rosi-LossMkuu kumradhi
Samani- thamani
Rakini- Lakini
Nauri - Nauli
Ushauri , mwanamke kama hakutaki ataonyesha tu kwanini uchague mmoja kati ya 4 billions.
RosiMkuu kumradhi
Samani- thamani
Rakini- Lakini
Nauri - Nauli
Ushauri , mwanamke kama hakutaki ataonyesha tu kwanini uchague mmoja kati ya 4 billions.
Afu unaomba cha asubuhi ugomvi unaishaWenzako ukisha mtandika makofi kama hivyo kukikaribia kukucha unaanza kumbembeleza ili yaishe,sio tena unaongezea ubabe...