Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #21
Umeona eeh, ukitoa kitu kibaya uwe gumzo, nifanyaje sasa jamani MawardatLikiwa baya wakunyooshee vidole😂😂
Haya mambo nayakwepa kama mkuki,nakimbiliaga kukatakata vitunguu🚶♀️🚶♀️
😁😁😁Siweziiiii kuni zinatisha bhana
Yaani nimemmiss kweli, angekuwepo hapa angekua kishamaliza hii ishu chapHivi seran yuko wapi au kala ban?
Naona kala ban😂Yaani nimemmiss kweli, angekuwepo hapa angekua kishamaliza hii ishu chap
Wote wamekaa pembeni wanasubiri pilau la kipemba yaan eti mimi ndio mpishi mkuu dah!Daah,
Ushayakanyaga, we jitahidi uwapikie tu, ila kamata wawili watatu wakusaidie
Sasa mbona sikuoni?Angalau wewe pekee umejitolea kunisaidia wengine wananicheka tu, dah! njoo nakusubiriiii
Afu staki hayo matani, me sio mpemba🥺Sawa mpemba🤣
Eh chumvi yasaidia nini?pika tu ila hakikisha unamwagia chumvi kwenye moto kabla uanze kupika
Njoo basi tupike MamyPika bhana hushindwi.
Tena kwenye kuni ni rahisi sana kupikia pilau
Ewaaa ndo huyo huyo nimekaa kwenye kituta cha viazi eehSasa mbona sikuoni?
Au ndio huyo shombe shombe aliyevaa dera la chui chui na kujifunga kilemba cha bluu?
#Free Seran🤘Naona kala ban😂
Bro hii sio sawa, msaada wako hata wa tunguli nipotee mazingira haya
Naishiaga kg 3 tuKilo 20 zinakushinda??
Nilidhani nimesikia kila kitu🤣Kilo 20 napika mwenyewe na ninakula mwenyewe
Nitakuja na usafiri gani wa chap jamani.Njoo basi tupike Mamy
Alaaaa kwahiyo waliokuita mpemba wamekoroga mambo🙄🙄Afu staki hayo matani, me sio mpemba🥺