ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Saa 8 hii muda wa kula au sherehe jioniHakijapikwa bado, si wananisubiri mpishi
Saa 8 hii muda wa kula au sherehe jioniHakijapikwa bado, si wananisubiri mpishi
Igweeeeeeeeee, Igweeeeeeeee, Igweeeeeeeee,Sikua mjamzito! Mqshemeji watatu na watoto wao kama 7 hivi mpishi niwe mimi nikitoa boko je?
Nikatulia kimya naperuzi jf mpaka chakula kilipoiva.
Ee kwenye mijumuiko ya watu hatupiki peke yetu hata kama mjuvi wa kupika...jifanye hujui Ili msaidiane kisipoiva hakuna wa kumtupia lawama mwenzake(macho ya watu mabaya)Umenipa nguvu ABJ, ngoja nikawatunishie kifua na mie, tupike wote peke yangu hiyo vipiiiiii!? lol
hujawahi kupika kwenye sherehe 😅😅😅au hujawahi sikia wanasema amepika vizuri alafu chakula hakiivi😅😅Eh chumvi yasaidia nini?
husda na kijicho chakula kisije kua kibichiChumvi tena, ya nini?
😅😅😅Sikua mjamzito! Mqshemeji watatu na watoto wao kama 7 hivi mpishi niwe mimi nikitoa boko je?
Nikatulia kimya naperuzi jf mpaka chakula kilipoiva.
Ushapika?Umeona eeh, ukitoa kitu kibaya uwe gumzo, nifanyaje sasa jamani Mawardat
Hata mimi ukweni ni Bukoba.Igweeeeeeeeee, Igweeeeeeeee, Igweeeeeeeee,
Mie nikienda ukweni (Bukoba) hua sipiki sababu hua wananionea huruma wanahisi wananitesa basi nikifika ni kuzurura tu na kukaribishwa misosi
Dada yangu pia kabatiza leo jumatano, sijajua mariposa anakaa mtaa huo au la Ila ni Dsm,😅😅😅ubatizo wa juma5
Sitanii ujue Dr. Mariposa 😜Nitakupikia la nyumban nikuagizie,
We binti weee taratiiiiibu na hayo maneno yako, Dar Tanga sio mbali ivoooooSitanii ujue Dr. Mariposa 😜
Hapa mate yamenitoka balaa.
Najua hamu yangu huwa haiishi hivi hivi.
Mpaka niridhishwe 😅
Duh hahahahaha yaani huna hili wala lile kumbe kuna watu wamekuteua kua mpishi wao, na kwako wameambiwa mpishi maalum kila mmoja alikaa pembeni wanakuangalia unavyopambana😆Nimekumbuka mbali sana kiukweli..!
kulikuwa na shughuli kwa rafiki yangu mmoja hivi kwao tabora, wakaambiwa ‘mpishi wa pilau’ yupo njiani anakuja..!
nikaambiwa ‘unasubiriwa upike’, nilihaha balaaa, ugenini, chakula kingi, jiko la kuni, machozi yalinilenga lenga nikatamani kurudi nilikotoka ila haiwezekani..!
Namshukuru Mungu nilipambana japo niliteseka balaa, kiasi kwamba chakula kimeiva me nimeshiba tayari kwa hofu hata njaa hakuna, nikaishia kula tu tikiti, jioni tukaondoka zetu nikaenda kula town ile ya mwanaukome..!
mcheck cocastic huyo broo nasikia ni bingwa wa mahanjumatiGuys, msaada wa haraka nipo njia panda, ishu iko hivi nimealikwa na jirani yangu mtoto wake amepata ubatizo sijui kumunio hata sielewi, nikasema ngoja nijichanganye na majirani zangu hawa ndio kimbilio langu la kwanza,
Sasa kama kawaida wanawake tumefika mapema kama kuna vikazi vidogo vidogo vifanywe, baada ya muda mama shughuli kaja uso umemsawajika anasema mpishi alompanga aje apike hapatikani kwenye simu, itakuaje na muda unasogea, basi watu wanajifanya kusikitika hapo,
Mie na kiherehere changu nisiropoke, "jamani kwani pilau tu na rosti tunashindwa kupika chapu hapo watoto wakafurahi hadi tumsubiri mtu tusojua anatokea wapi"
Khe si ndio huyo mama wa kichaga akasimama "halafu kweli tena leo tupikiwe pilau na mpemba, nyie kwa mapishi hamna mpinzani"
Alooo nilisonya kimoyo moyo nikajisemea "mie sio mpemba mpuuzi wewe, alokwambia najua kupika nani nyau weee"
Lakini nje nilionesha tabasamu la unafki wakati nishatoka kumnanga,
Basi kabla hata sijajitetea wamama wasininyanyue wakaanza kunionesha mafiga ya kuni, mwengine kaosha mchele, mwengine kachochea kuni sasa hivi wooooote wamekaa pembeni wanasubiri kupikiwa pilau la kipemba,🙌🏻
Nimewaambia napokea simu mara moja ndio nimekaa kwenye kituta cha viazi naandika huu uzi haraka haraka, sasa kosa langu mie nini hadi kuachiwa kupika jungu la pilau kwenye jiko la kuni,
Nisiwe muongo sijawahi kupika kwenye kuni, sijawahi kupika wali zaidi ya kilo 3 leo napewa mchele wa kilo 20 kweliiiiii, serikali iko wapi wananchi wake wananyanyasika,🥺
Nishaurini guys niache ndala a.k.a kutoka ndukii au nijifanye naumwa jino ghafla? au nijiangushe nijifanye jini makata kapanda anataka 'kiti wake' apewe pepsi baridi na apumzike kivulini?
Nyie jamani huu ni ukatili na unyongeshaji,
Heeeeeeeeeeeeeeelp😭😭😭😭😭
Itakua ndio hapa hapa kwa dada ako, umwambie awe anaandaa wapishi wawili mmoja akizingua mwengine anacover, tunaoteseka ni sie majirani zake🥺Dada yangu pia kabatiza leo jumatano, sijajua mariposa anakaa mtaa huo au la Ila ni Dsm,
Katoliki hamna siku maalumu ya kubatiza ikiangukia wamepanga mwezi fulani na siku fulani imeisha
Binafsi naona bora wasagaji kuliko mashoga.Naona unajatibu ku-fit-in kwenye society baada ya kugundua mambo ya homosexual ni ngumu kumeza!
Rudi kwenye nafasi yako ya uanamke kamili, jifunze namna ya kuwa mke halisi, utaishi kwa amani sanaa.