Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni

Mambo ya kujiropokesha๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€pole dyadya...ni hivi waambie mnaniachiaje nipike peke yangu tunapika wote hapa maana hii ni sherehe visipoiva lawama zote kwangu, kwanza kwenye watu wengi Huwa tunapika Kwa ushirika Kila mtu anashika mwiko msinitanie....๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜œ
 
Umenipa nguvu ABJ, ngoja nikawatunishie kifua na mie, tupike wote peke yangu hiyo vipiiiiii!? lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ