Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni

Sikua mjamzito! Mqshemeji watatu na watoto wao kama 7 hivi mpishi niwe mimi nikitoa boko je?

Nikatulia kimya naperuzi jf mpaka chakula kilipoiva.
Igweeeeeeeeee, Igweeeeeeeee, Igweeeeeeeee,
Mie nikienda ukweni (Bukoba) hua sipiki sababu hua wananionea huruma wanahisi wananitesa basi nikifika ni kuzurura tu na kukaribishwa misosi
 
Umenipa nguvu ABJ, ngoja nikawatunishie kifua na mie, tupike wote peke yangu hiyo vipiiiiii!? lol
Ee kwenye mijumuiko ya watu hatupiki peke yetu hata kama mjuvi wa kupika...jifanye hujui Ili msaidiane kisipoiva hakuna wa kumtupia lawama mwenzake(macho ya watu mabaya)
 
Igweeeeeeeeee, Igweeeeeeeee, Igweeeeeeeee,
Mie nikienda ukweni (Bukoba) hua sipiki sababu hua wananionea huruma wanahisi wananitesa basi nikifika ni kuzurura tu na kukaribishwa misosi
Hata mimi ukweni ni Bukoba.
Basi tuseme Bukoba ni wakarimu maana mkwe mwingine angenichamba na angesema sifai kua kwenye familia yao kisa kutopika.
 
Naona unajatibu ku-fit-in kwenye society baada ya kugundua mambo ya homosexual ni ngumu kumeza!

Rudi kwenye nafasi yako ya uanamke kamili, jifunze namna ya kuwa mke halisi, utaishi kwa amani sanaa.
 
Nimekumbuka mbali sana kiukweli..!
kulikuwa na shughuli kwa rafiki yangu mmoja hivi kwao tabora, wakaambiwa ‘mpishi wa pilau’ yupo njiani anakuja..!

nikaambiwa ‘unasubiriwa upike’, nilihaha balaaa, ugenini, chakula kingi, jiko la kuni, machozi yalinilenga lenga nikatamani kurudi nilikotoka ila haiwezekani..!

Namshukuru Mungu nilipambana japo niliteseka balaa, kiasi kwamba chakula kimeiva me nimeshiba tayari kwa hofu hata njaa hakuna, nikaishia kula tu tikiti, jioni tukaondoka zetu nikaenda kula town ile ya mwanaukome..!
 
Duh hahahahaha yaani huna hili wala lile kumbe kuna watu wamekuteua kua mpishi wao, na kwako wameambiwa mpishi maalum kila mmoja alikaa pembeni wanakuangalia unavyopambana😆
 
mcheck cocastic huyo broo nasikia ni bingwa wa mahanjumati
 
Dada yangu pia kabatiza leo jumatano, sijajua mariposa anakaa mtaa huo au la Ila ni Dsm,

Katoliki hamna siku maalumu ya kubatiza ikiangukia wamepanga mwezi fulani na siku fulani imeisha
Itakua ndio hapa hapa kwa dada ako, umwambie awe anaandaa wapishi wawili mmoja akizingua mwengine anacover, tunaoteseka ni sie majirani zake🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…