Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni



Dadeki!
Sema Pilau ni kitunguu. Hilo tuu
 
Nishaurini guys niache ndala a.k.a kutoka ndukii au nijifanye naumwa jino ghafla? au nijiangushe nijifanye jini makata kapanda anataka 'kiti wake' apewe pepsi baridi na apumzike kivulini?

Una namna fulani ya uandishi kama Lara 1, haswa kwenye uchaguzi wa maneno na namna ya kuyaoanisha msomaji asiboreke...

Fanya kama umeenda kununua viungo unavyotaka wewe, halafu ndio kimoja hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…