Ushirikina kama ule wa wanaccm kumroga mwenyekiti wao Rais Samia? Kumbe kwa ccm ushirikina sio msamiati mpya bali ni tabia ya kawaida tuu!Relax gentleman,
makasiriko ni utumwa wa kuumiza roho yako mwenyewe,
siasa inahitaji tu hekima na busara mihemko ni ushirikiana kwenye siasa 🐒
gentleman,Ushirikina kama ule wa wanaccm kumroga mwenyekiti wao Rais Samia? Kumbe kwa ccm ushirikina sio msamiati mpya bali ni tabia ya kawaida tuu!
shida ni mbabu kujifanya Gen z 🤣Mtu mwenye busara hawezi kula mazuri ya nchi huku nchi ikipotea, lazima aionye!
Yaani wewe uzeeni ukiona wanao wanakwenda fyongo utawaacha tuu bila kuwapa mwongozo kwa vile unakula pension yako?
Utaonekana Babu jinga kama mzee Chigwemisye!
Hakuna Cha makosa, Makonda ni Kiongozi Bora anayemjua MunguKama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na kuombewa.
Jee ana makosa gani hayo yanamtafuna kiasi hicho mpaka anahitaji sympathy ya kuombewa na mikusanyiko ya watu kwa kivuli cha uongo kuombea nchi?
Mbona maombi hayo ni kuombea amani tuu bila kuiombea HAKI?
Viongozi wa serikali, wa dini hata wazee wamchukue huyu bwana na kumpa ushauri wa kisaikolojia awaambie nini kinamnyima furaha moyoni na kumpa hofu?
Kwa nini anatumia maneno ya kuchafua nchi kama hilo la "kurogwa Rais"? hadharani au yeye Rais ndio anamtuma? Na kama anamtuma kwa hiyo Rais wetu ni mshirikina na mwoga wa kurogwa? Anatufaa kweli kwa hulka hizo?
Nifanyacho hapa nikuomba mwenye uwezo ajitokeze kumsaidia maana naona kuna viongozi wa dini za mchongo wanamtumia kimaslahi tuu.
https://www.facebook.com/Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na kuombewa.
Jee ana makosa gani hayo yanamtafuna kiasi hicho mpaka anahitaji sympathy ya kuombewa na mikusanyiko ya watu kwa kivuli cha uongo kuombea nchi?
Mbona maombi hayo ni kuombea amani tuu bila kuiombea HAKI?
Viongozi wa serikali, wa dini hata wazee wamchukue huyu bwana na kumpa ushauri wa kisaikolojia awaambie nini kinamnyima furaha moyoni na kumpa hofu?
Kwa nini anatumia maneno ya kuchafua nchi kama hilo la "kurogwa Rais"? hadharani au yeye Rais ndio anamtuma? Na kama anamtuma kwa hiyo Rais wetu ni mshirikina na mwoga wa kurogwa? Anatufaa kweli kwa hulka hizo?
Nifanyacho hapa nikuomba mwenye uwezo ajitokeze kumsaidia maana naona kuna viongozi wa dini za mchongo wanamtumia kimaslahi tuu.
Kama unaelekea kwenye ukichaa lazima uambiwesasa muerevu mbona umejaa mihemko tu na makasiriko ikiwa una akili nzuri 🤣
walau ungekua basi na mawazo mapya na fikra mbadala na bora zaidi,Kama unaelekea kwenye ukichaa lazima uambiwe
Uongee ujinga alafu uambiwe unaakili sikituko hiko
Hivi hawa wazee wapo au walishafariki dunia...?Mtu mwenye busara hawezi kula mazuri ya nchi huku nchi ikipotea, lazima aionye!
Yaani wewe uzeeni ukiona wanao wanakwenda fyongo utawaacha tuu bila kuwapa mwongozo kwa vile unakula pension yako?
Utaonekana Babu jinga kama mzee Chigwemisye!
Mbona hashtakiwi sasa kwa mauaji?Yaani aue watu sababu ya madaraka kisha ajifanye anaitisha maombi? Watu wajinga ndio hukubali hadaa za maombi ya waficha uovu.
Anashitakiwaje kwenye mifumo inayolinda viongozi waovu?Mbona hashtakiwi sasa kwa mauaji?